Recent content by Ng'oga

  1. Ng'oga

    GE2010 Tetesi: Mpendazoe ang'ara

    hizo ndizo facts! Prove kama ni uzushi!
  2. Ng'oga

    GE2010 Tetesi: Mpendazoe ang'ara

    Mahanga agoma kusaini na kukamatwa na mabox ya kula faki yuko polisi akihojiwa:israel:
  3. Ng'oga

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Mpaka hapo anatisha!!!
  4. Ng'oga

    Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    haya endelea!
  5. Ng'oga

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Si mwanza tu watanzania wengi sana bado wanadanganyika!!!
  6. Ng'oga

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Sio wasukuma tu ni watanzania wote bado "wanazugwa au wanadanganyika" si kwa fulana tu hata kwa maneno ya ahadi hewa!
  7. Ng'oga

    Kumbe Makaburu nao masikini tu

    Haiwezekani kuwa na matajiri nchi nzima au masikini nchi nzima! Hata kukiwa na matajiri nchi nzima wanazidiana! Aliye na kidogo ni masikini kwa aliye na kidogo and vis versa!
  8. Ng'oga

    Kunywa pombe kuna faida gani??

    Siku moja, Itakutawala badala ya kuitawala
  9. Ng'oga

    Wizi chuo Kikuu cha Dar es Salaam umekithiri

    Amani na utulivu vikitawala kwa muda mrefu watu hujisahau na hiyo kumwamini kila mmoja! Hata walizi wetu mida ya usiku huwabidi wasinzie badala ya kukaa macho usiku kucha! Wizi huo ni taarifu tu kwa walinzi wetu popote walipo na hasa wa UDSM kuwa wasibweteke/wakeshe kwani hawajui siku wala saa!!!
  10. Ng'oga

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    pole sana! mambo ya kigeni haya!
  11. Ng'oga

    Kitchen Party: Yatokanayo...

    Hapa nimepata shule ya kutosha! Asante Mama kwa kuaanzisha mjadala
  12. Ng'oga

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Watu wanadroo pesa toka mabenki walikohifazi vijisenti vyao ili kuvipeleka deci kwa lengo la kupate riba kubwa zaidi! Kwani mabenki wanatoa riba kidogo sana! Nani kawashitua BoT, polisi, au serikali na vyombo vyake? Si hayo mabenki wanaonyang'anywa wateja na deci?
Back
Top Bottom