Pole sana ndio nasikia kwa mara ya kwanza hali hiyo, Ila nimetamani hiyo hali niwe nayo Mimi maana opposite yake ndio tatizo kubwa linalosumbua wanaume wengi
Chadema nashindwa kuwaelewa Nimemsikiliza Lisu Leo na kusoma comments za wanachadema wengi baada ya Zito na Raisi wa Jamuhuri kuongea Jana, Ila sijawaelewa Chadema, hivi mnachotaka ni kitu gani? Sababu mpaka sasa Mbowe yuko ndani nyinyi mko kwenu na wengine wako Ulaya wanakula maisha na kula...
Mbona wanajua vuzuri tu, kwani kibiti si walikuwa haohao wako wapi saa hizi? Mziki wanaujua sio kwa kuhadithiwa Bali kwa kushuhudia phisically kudadadeki.
Basi kishafeli maana mbona Cha kawaida sana, hii ndio Tanzania inayoamini katika Mungu Baba Muumba wa Mbingu na Nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, tunasubiri vijavyo na tutavuka.
Mbona hamna hoja ya msingi zaidi ya kulalamika kizandiki au kawachomolea betri nini, acheni unafiki semeni mapungufu yake, nyie wote ndio walewale achaneni kabisa na Hayati Magufuli wetu na timu yetu.
Vyovyote mtakavyosema kama ni kweli walikuwa na hoja au madai yoyote staili waliyotumia haikubaliki lolote, Mwanajeshi kugoma ni uhaini na ni hatari sana, jeshini utii kwa viongozi ni kitu kikubwa namba moja kuliko chochote.
mnaodhihaki maladhi
ya wengine endeleeni kilema mtu aombi, na kama ni kizuri basi ngoja siku upate upofu ili tukuchangie, nafikiri ni utoto mkikuwa mtaacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.