yani bahati nasibu pekee hapa bongo iliyokuwa iko fea ilikuwa JACKPOT BINGO! ilikuwa inarushwa ITV aseeh kila kitu kilikuwa wazi, gurudumu linazungushwa LIVE tena mzungushaji ni wewe mwenyewe eti, mshindi anaonyeshwa jinsi alivyoshinda LIVE, kofia zinafunguliwa LIVE ( kulikuwa na kofia 12 alafu ndani ya hizo kofia unaonyweshwa kila kitu kilichopo ndani yake then zinafungwa kisha unaanza kutaja kila kilichomo ndani kuanzia kofia ya 1 hadi ya 12), ilikuwa unashiriki kwa sms au kwena studio jumamosi LIVE, vinachanganywa vikaratasi vyenye maneno yenye bahati kwenye pipa kisha vinakorogwa unaambiwa uchague kimoja LIVE ukishinda unapewa hela yako pale pale LIVE, kuna vimpira vidogo vyenye rangi na namba tofauti vilikuwa vinazungushwa kwenye kitu kama duara lenye kioo vinajizungusha unaambiwa uotee namba itayotoka kwenye hilo duara then umeme unakatishwa namba inatoka, yani mchakato wote unaona kabisa hakuna mtu wa kati ni wewe na wao moja kwa moja. Please wahusika bring back JackPot Bingo. Tena mrudi pale pale ITV afu muone hawa biko na tatu mzuka kama hawajasanda.