Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,288
2,000
Hapo mwanzo niliona kuwa uongozi wa JKT umefanya jambo la busara ila badae nimekaa nikafikiria nikaona nimekosea.

Naombeni mnisamehe....hawa vijana wanaditahili kusamehewa.

Haiwezekani wapambane miaka mpaka 4 halafu linapokuja suala la ajira...wanapachikwa watoto wa vigogo jeshini. This is unfair, this is not right...

Nimeumia sana baada ya kusimuliwa na kijana mmoja aliyeshiriki kuandamana.

Yaani mtu ajapiga kozi hajalala nje, hajashiriki ujenzi wowote anafikia ajira. This is unfair....

Mama Samia tunakipima katika hili....hawa vijana wasamehewe na waajiriwe haraka!
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
41,011

Hao waliahidiwa ajira na JPM na JPM anajua kwamba ajira za jeshi/ulinzi ni idadi gani na ndio maana akasema waajiriwe moja kwa moja ,alivyofariki ndio hao WABABE wakatumia loophole kuwapiga chini waajiri ndugu zao na wapige pesa za connections za wengine.
 
Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,708
2,000
JKT sio sehemu ya ajira
Ni sehemu ya ajira aise maana vijana wa vyombo karibu vyote vya ulinzi wanachukuliwa huko na wengi tulienda kwa lengo la kupatia ajira huko ila kuanzia 2015 mambo yakaaawa mbaaali mbaaaali.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
19,999
2,000
Ni sehemu ya ajira aise maana vijana wa vyombo karibu vyote vya ulinzi wanachukuliwa huko na wengi tulienda kwa lengo la kupatia ajira huko ila kuanzia 2015 mambo yakaaawa mbaaali mbaaaali.
Sio 2015 ni 2012 sisi waliorudi sii kwamba walikosa hapana ni kuwa C.O wa ile kambi kuna op mpya ilikuwa imeshaanza kuingia wakati huo vijana wakaitajika wakafanye usahili wa jw mafinga tena bila kuchagua elimu huwezi amini c.o alipeleka vijana wapya kama 100 hivi ambao hata intro ilikuwa bado kabisa ikabidi wale wakongwe wabaniwe hadi mkataba ukafika ndio hivyo tena wakarudi uraiani.
 
John Joba

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
587
1,000
Hapo mwanzo niliona kuwa uongozi wa JKT umefanya jambo la busara ila badae nimekaa nikafikiria nikaona nimekosea.

Naombeni mnisamehe....hawa vijana wanaditahili kusamehewa.

Haiwezekani wapambane miaka mpaka 4 halafu linapokuja suala la ajira...wanapachikwa watoto wa vigogo jeshini. This is unfair, this is not right...

Nimeumia sana baada ya kusimuliwa na kijana mmoja aliyeshiriki kuandamana.

Yaani mtu ajapiga kozi hajalala nje, hajashiriki ujenzi wowote anafikia ajira. This is unfair....

Mama Samia tunakipima katika hili....hawa vijana wasamehewe na waajiriwe haraka!
Kiukweli inaumiza sana. Wafanyakazi wa Mining comission, Hayati Raisi John Magufuli alipotoa agizo watu wapunguziwe mishahara lilifanyika faster faster within two days watu wameshapunguziwa Salary scale zao. Lakini hili la kuajiriwa hawa vijana limechukua miezi kwa miezi.

Ukweli nikwamba hamjawakomoa hao vijana peke yao bali mmewakomoa mamia kwa mamia ya watanzania ambao wangefaidika kupitia kuajiriwa kwa hao vijana. Always ukweli ni ukweli na ukweli utabaki kuwa ukweli.

Note: Siku zote haki ya mtu haidhulumiwi.
 
Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
2,708
2,000
Sio 2015 ni 2012 sisi waliorudi sii kwamba walikosa hapana ni kuwa C.O wa ile kambi kuna op mpya ilikuwa imeshaanza kuingia wakati huo vijana wakaitajika wakafanye usahili wa jw mafinga tena bila kuchagua elimu huwezi amini c.o alipeleka vijana wapya kama 100 hivi ambao hata intro ilikuwa bado kabisa ikabidi wale wakongwe wabaniwe hadi mkataba ukafika ndio hivyo tena wakarudi uraiani.
Ouh japo kwa upande wangu na rafiki zangu nyuma ya 2015 wengi walipata police, magereza na kwingineko ila baada ya 2015 janga likawa kubwa zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom