Recent content by Ngido Daudi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa zamani kuna haya. Je, ulishawahi kukutana nayo?

    Wali uilikuwa ni sikukuu za kidini tu. Mziki ni santuri changer na mguu pande. Suruali bichkoma baada ya Vita raizoni na mashati ya Flying eagle na chuichui au slim fit nywele afro mafuta ya nazi kitana cha mti na spoke za chuma pekosi huku nyuma urembo wa banangenge. Primary uniforms ilikua...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Ninaomba kutumiwa litany cha Rose Pistols mwandishi
  3. N

    JamiiForums Tanzania PATA SMART WATCH KWA BEI POA

    Ya kwangu 0658376480
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lugha 6 za Afrika zinazotumika zaidi

    Ni taftari au futari muongozo unahusu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hebu tumkwamue huyu dogo

    Ushauri wa bure kwa ufaulu huo anaweza akarudia akafeli zaidi angewasiliana na vyuo husika ili wamfafanulie.
  6. N

    JamiiForums Tanzania TIGOPESA;-Viwango vyenu kwa sasa vinatisha,mnawaua walalahoi,shusheni!

    Na tigo beats, caller tunes za kubambikiana mara washakata hela fasta.
  7. N

    JamiiForums Tanzania TIGOPESA;-Viwango vyenu kwa sasa vinatisha,mnawaua walalahoi,shusheni!

    Ni maumivu ya ghafla halafu hawatangazi tutasepa kwenye ahueni.
Back
Top Bottom