TIGOPESA;-Viwango vyenu kwa sasa vinatisha,mnawaua walalahoi,shusheni!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,047
23,491
Kwa kweli pesa za matoleo yao sasa ni kufuru.
Kutoa 5000/- wanakata 800/-
badala ya iliyokuwa 600/-
mnauwa / punguzeni ili iwe kama HUDUMA na MSAADA kwa wanyonge.
mama zetu, ndugu zetu,wanaishi vijijini na hili ndilo tegemeo na msaada.
 
DUBAI KUPIGA SIM NDANI YA NCHI BURE UNACHAJIWA TU UKIPIGA NJE YA DUAI,,,VAT HAKUNA PAYE HAKUNA,,,,UFISADI NA UBINAFSI UNAUMIZA MASKINI WA TANZANIA ..
 
Mimi karibia naifunga akaunti yangu ya tigo pesa....maana hii sasa ni kukomoana....naona wanataka kutajirika kupitia vijisenti vyetu....
 
Yaani utadhani wamebadilishana na Tanesco kwa sababu bei ya umeme iko chini halagu wao wakapandisha viwango vya kutolea hela kiukweli viwango viko juu sana
 
Kwa kweli pesa za matoleo yao sasa ni kufuru.
Kutoa 5000/- wanakata 800/-
badala ya iliyokuwa 600/-
mnauwa / punguzeni ili iwe kama HUDUMA na MSAADA kwa wanyonge.
mama zetu, ndugu zetu,wanaishi vijijini na hili ndilo tegemeo na msaada.
Ni kweli mkuu wamekuwa wezi tu nao!
 
TCRA wamelala usingizi wa pono na sijua wataamka lini kuwatetea wananchi wanaonyonywa na hii mitandao ya simu maana zengwe lilianza toka kushusha vifurushi

TCRA amkeni basi
 
Na ukikosea namba ukatuma kwenye namba nyingine au ukatuma ikawa haijafika, ukawanotify mapema na kufanikiwa kuiblock hiyo hela, usipokomaa hawakurudishii.

Utaambiwa subiri 72 hours, mara 24, .....ukizembea inakula kwako.

Inabidi wakikuzungusha mara ya tatu uwajie juu kuwa utawachukulia hatua...mbona inarudishwa tu! Ila ukiwachekea wanakuzungusha mpaka basi.
 
Kwa kweli pesa za matoleo yao sasa ni kufuru.
Kutoa 5000/- wanakata 800/-
badala ya iliyokuwa 600/-
mnauwa / punguzeni ili iwe kama HUDUMA na MSAADA kwa wanyonge.
mama zetu, ndugu zetu,wanaishi vijijini na hili ndilo tegemeo na msaada.
Na tena ilikuwa 5000, wanakata 750,wameongeza 50
 
Back
Top Bottom