Recent content by nghang

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Hakuna namba kama hiyo mnazi wewe!!!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu: Usikilizwaji wa UAMUZI wa pingamizi la Zitto dhidi ya CC ya CHADEMA

    Acha ushabiki wa kijinga yericko kikundi kinachomwimbia zitto kiko wapi mbona mi niko hapa mahakama kuu toka saa moja sijakiona!!??
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafanya Mkutano wa Kamati Kuu leo Dar, Mnyika aelezea yatakayotokea baadaye

    Chama cha wachaga (chachawa) hamfiki mbali aise!!!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa na kofia mbili, Zitto na udhaifu wa Mbowe

    nape na mangula hawana ubavu wa kumwadhibu lowassa labda mangula amesahau kilichomkuta baada ya jk kutwaa madaraka 2005 nahisi amekumbuka kilimo cha nyanya huko iringa.....maana anaingia kwenye bahari yenye kina kirefu ambacho hawezi kuvuka!!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Chadema na Utawala katika Majiji Makubwa hapa Nchini

    Tatizo uelewa wa viongozi wa cdm ni mdogo sana katika kuendeleza chama wanachofikiria ni maslahi binafsi!!! Ukanda utawaumiza!!! Mbowe zero brain kabisa asipoondoka uenyekiti wa chama atakiua atarajie maporomoko makubwa 2015
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    mwigulu nchemba
  7. N

    JamiiForums Tanzania Gazeti Mtanzania:Ndugai amekosea awaombe radhi wapinzani

    Ndugai ni -------- sijawahi ona, anafanya ubabe bungeni wakati jimboni kwake matatizo yamejaa! Acha ubabe wa kijinga ndugai tumikia nafasi yako kwa kufuata sheria na si kwa kutaka sifa na kufurahisha wana ccm! Nakumbuka siku hiyo ulitoa mfano kuwa mh mrema alishawahi kusema Kuna mawaziri ambao...
  8. N

    JamiiForums Tanzania By analysis, ni nani anayeumia/atakae umia(kiuchumi) ktk huu mgogoro wa Rwanda na Tanzania?

    PK is a such stupid Guy, iland if out leaders are such patriotic let them don't care about this!! While suggesting this I real know how much we loose on raised road tolls but we shouldn't care about this lets just look on alternatives rather kneeling to this stupidy kagame who was raised in here...
  9. N

    JamiiForums Tanzania UKIMWI bila Pesa ni hatari...

    pole sana dada, ILA naomba uendelee kuwa na Moyo wa kijasiri kama ulivyoanza! Samahani ningependa kujua uko wapi? Mimi niko dar naomba pls kama hutaona shida tukutane popote hapa dar kama uko maeneo haya ntakupa namba yangu ya simu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mjue RUGE na wasanii wa TANZANIA

    Pumbafhu!!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    Kigwangalla aliingia bungeni kwa njia ya miujiza na naamini sasa kumbe kulikuwa na maslahi binafsi, kama unaona Tanzania daima wanakuchafua si uwapeleke kwa court?? Acha story za kirikuu dr.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mgeni rasmi tamasha la SHIWATA la kukuza vipaji kwa wasanii chipukizi

    No comment!!! Atakuwa kaomba mwenyewe awe mgeni rasmi
  13. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameliharibu Sana Bunge Letu! Hadi Mawaziri Wetu!, Kama Vipi Kifutwe Kabisa Tujue Moja?!.

    Haya makinda yanafanya hivi kwa sababu gani jamani? Ni nani kawatuma hawa? Watakumbukwa kwa lipi jamani baada ya maisha Yao hapa duniani? Nitalipua bunge siku nikipata bahati kusogea pale!!!
  14. N

    JamiiForums Tanzania SAKATA LA UJANGILI WA KINANA: Wabunge wa CCM wataka kuwa na Kikao Usiku huu

    Halafu wabunge WA upinzani wanpoomba mwongozo na kutoa taarifa wanaambiwa wakorofi na kutolewa nje, mtajifurahisha hapo bungeni lakini wananchi tunaona ukweli uko wapi
  15. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni waongo na wazushi ukweli kuhusu shutuma ya KINANA huu hapa

    Huo U dr Wako unamanufaa gani kwa watanzania waliolipa kodi ukaenda shule nchimbi? Kwanini utuamishe uongo kuwa ukweli? Watu wanafikiria kuliko unavyohisi!! Kwa hilohuhitaji hata kwenda shule kujua ukweli WA jambo hilo,,,hiyo coincidence si ya kawaida mh mchumia tumbo!! Ccm hamna jipya tena na...
Back
Top Bottom