Recent content by ngewa

  1. N

    Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

    100% kwa mtu alielelewa kwenye familia yenye pesa atakubaliana na wewe, i have exprienced it utajiri ni zaidi ya yale tuyaonayo kwa macho. Wanayoyafanya matajiri yanatisha i have seen with my own eyes kwa mzee wangu enzi zake. Nmejikuta najua kila aina ya rangi za wanyama na kazi zao, nikifika...
  2. N

    Mtandao hatari wa kutapeli watu fedha

    Hii kitu imenikumba nimepigwa 20m just last month nimeanza maisha upya, nilishindwa kushtaki polisi but hii kitu inafanyika kma kuna polisi wapo humu plz do something na kibaya zaidi wengne ni politicians wanaconections. Wanakwambia plain and White kwamba ukienda polisi utakamatwa wewe na sio...
  3. N

    OGAH ROOMS

    Je umewahi kukumbana na kadhia kma uchafu, kunguni, Kelele,bei ghali ya vyumba, umbali mrefu kwenye vyumba vya kulala wageni (guest house)? OGAH room's inakuwezesha kufanya booking katika vyumba zaidi 800 kiganjani mwako jijini Mwanza kwa bei ya chini 8000--15000/=.sifa za vyumba -vyumba vyote...
  4. N

    Napata wasiwasi kujua huyu mtoto ni wangu ama la!

    Km anakuruhusu kubeba simu yake then tuwasiliane nikuuzie software, utaweza kutrack maongezi yake yote, sms na watsap chat zoote ikiwemo pics, video calls
  5. N

    Kwanini mshahara wa Serikali haukai ?

    Mkuu mpimamstaafu hivi unaelewa ulichokiandika? Unazungumzia mtumishi wa aina gani? We ni mtumishi?
  6. N

    Sakata la Komu na Kubenea: Mbowe analitia hasara Taifa kwa chaguzi za marudio zisizoisha, Rais Magufuli chukua hatua stahiki

    Katika waleta mada humu jf hkn anaendeshwa na hisia za chuki unaoegemea upande moja kma wewe . Kwa siku unaweza kuandika thread hata 2 zote unaiponda chadema alafu bado unajipa moyo. Ushaamia ccm andika ya huko, huku hapakuhusu ur a puppet like any other political puppet
  7. N

    Kosa kubwa analofanya IGP Sirro na litamgharimu...

    Sasa ndo umeandika nn? Bora ungenyamaza tu una expose level yako ya ujinga
  8. N

    Kuku Weupe Wabakwa hadi Kufa huko Muriet, Jijini Arusha.

    Lazm utukane? Ndo ulivyo lelewa?
  9. N

    Mliowahi kukopa benki na badae kuachana na mikopo na kubaki na mitaji yenu tupeane ujuzi nasi tujikwamue

    Mkopo ni kama some sort of addiction, mtu akishaanza kuacha kazi sana. Matajiri wengi almost 90% wana run biashara kwa mikopo tena mikubwa sana ambayo sometimes hailipiki. 2004 mzee wangu akiwa nazo alikuwa na marafiki kma kina gachuma, lameck airo,patel na wengine nilijifunza wengi huendesha...
  10. N

    You're not in love with me

    Huwa sio mchangiaji mzuri na huwa sipendi kuzungumza personal life mtandaoni, lkn inafika kipindi unaona kbsa umebeba mzigo mzito moyoni. The only solution nikuongea uwe free, uzuri wa jf hata nikiongea hatufahamian privacy hubaki pale pale. Initialy nilijisikia inferior labd sina swaga or am...
  11. N

    You're not in love with me

    This reminds of my former wife to be, she promised to mary me and i did everything possible, i did all i can to make her happy. She seemed to be so happy and deeply in love with me, we were perferct combo, i was her only man. After many years of wonderfull moment she got pregnant, i was happier...
  12. N

    Zitto: Unawezaje kuwa na mabombadia, maSRG, madremliner unashindwa kuwa na vifaa vya kuokoa wanyonge?

    Nakujua personaly Mayala huwa napigwa bumbuwazi kila nikiona post zako, hivi ni wewe kweli? U were a very inteligent guy what went wrong ndugu yangu? Hivi kweli wewe ni wa kusapoti kila kitu as long as inaifikirisha serikali na chama tawala? Aisee
  13. N

    Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.

    Honestly paschal unatupa picha ya aina ya wasomi tulionao nchi hii, its hard to believe unashinda kwenye key board kumsifia magufuli na serikali kali siku iendayo kwa Mungu! This is not out of patriotism, una greed kubwa sana ndani ya maandishi yako, ur too emotional logic umetupa chooni kabsa.
  14. N

    Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

    Watu kma nyie very pathetic and fools hivi ni lazm ucoment hata kma unaandika ugoro? Aliekulazimisha kusoma ni nani? Leta mada zako zenye akili tusome sio kuleta mambo ya kike kike hapa
  15. N

    Dunia ya leo bila riba huwezi kufanikiwa kimaisha

    Wachangiaji mnamsakama sana mtoa mada lkn asilimia kubwa humu kwa namna moja au nyingine riba inagusa maisha yenu kila siku bila kujali dini!
Back
Top Bottom