Recent content by Ngawila

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatoa elfu 50 Kurejesha Account ya Instagram

    Habari kwa mtu yeyote ambae anaweza kunisaidia kurejesha Account yangu ya Instagram nina toa shillingi elfu 50 cash kama upo njoo DM uaminifu ndo kitu mhimu account baada ya kufungwa inasomeka We disabled your account, cee Hi ce__ We reviewed your account and found that it still doesn’t...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Duh mwezi wa 9 mgumu sana
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Asante
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndugu zangu habari za mda huu, naombeni kujuzwa jambo... Kama MTU umefanya ora na mwaka unakaribia kuisha ila kwenye web na kwenye app kote imekua selected for oral wakati huo kuna post kadhaa za kada yako zina postiwa kutafuta watu wakati ww uko database hii inamaanisha washani nipiga chini au...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Watanganyika mnadharauliwa sana na vyombo vya dola hamjijui tu , kiongozi aliye wakusanya kwa mamia anakamtwa mbele yenu?

    We shoga umezaliwa bila bismirahi konyo wewe
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchukiwa kazini

    Jikabidhi kwa MUNGU wako
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dawa za hospital za kuongeza shahawa na kupevusha mayai

    A Andika email nikutumie picha ununue
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    Nerve calm 1tab od 1/12 Dexamethasone 0.5mg od 10/7 tumia hizi dawa ila hapo jitahid lishe ndgu yang
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuanzisha au kukubali kuwa na mahusiano na mtu aliyekuzidi umri?

    Noma sana
  10. N

    JamiiForums Tanzania Game station business: Naomba taarifa kuhusu hii biashara

    Classmate wangu baada ya kufungua hii biashara alipiga sana hela mpka akaingia bifu na wazazi baadae alipewa kesi ya ubakaji wa watoto now yupo keko gerezani
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitasahau usiku ule: Alinifukuza kwake usiku kisa mwanamke!

    Taja umri wako na wa rafiki yako
  12. N

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo nimekubali kwamba kikulacho ki nguoni mwako

    Ndo wabongo walivyo subir samia akiondoka madarakani watakavyo mzodoa hao hao wanao muita mama wa taifa
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Huna akili kabisa kila binadam ana historia yake kwenye maisha na mahusiano ikiwemo wewe
Back
Top Bottom