Recent content by ng'asti

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    me ninavyo kumbuka lakini jamaa hana ngoma!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa Hafai! Yes I said It - Sababu ya I

    we mzee angalia haya kateni jina la lowassa mtupe mtu wenu alafu akibugi tutawatafuta tuwapige masingi
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Tuwe na mdahalo wa wazi wanaCCM wote tulioonesha nia kutaka Urais 2015

    sio siri huyu kigwangwala me simkubali hata kidogo sijui kwa nini
  4. N

    JamiiForums Tanzania Smartphone bei ya kumwaga

    kama una sony expilia Z2 vp huna boss
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nilienda ku meet na mwana JF, kumbe ni pink panther

    bobby dolat nirushie namba zake huko in box nimtafute huyooooo
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    kwa ninavyo mjua mzee J4 baba yangu lazima amemzingua abdul mana ukoo wetu wote huwa wanatuambia msimuone baba yenu anabusala sana ni hatari ndio maana kajivisha uislam kama ngao yake ya kujilinda lakini si mtu mzuri imeniuma sana kujua kama dada yangu mumewe ndie alie muua hata ningekua mimi...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    alafu me ninavyo mjua hatibu amevulugwa sana maana juzi kanipita msamvu hata salamu hajanipa maana jamaa ni mkarimu sana duu maisha haya jamani.....bonge la story sijui mbele itakuaje ...naongeza big up
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Historia batili: Riwaya mpya na JK episode 02

    me siku ya msiba sikuwepo kumbe ndio ilivyokua lete mchapo ndugu dunia inamambo hii!dahh big up
  9. N

    JamiiForums Tanzania Projector mpya inauzwa toka UK

    beini ni 700000 tsh kwa ajiri ya picha nicheki whatsapp kwakua zinagoma kutuma pic alafu ni mpya na ina kila kitu chake mpya jina nitakutumia whatsapp pamoja na picha nicheki 0715426668
  10. N

    JamiiForums Tanzania Projector mpya inauzwa toka UK

    mprojector mpya kutoka uk inauzwa kwa wanaohitaji wanicheki whatsaap 0715426668 kwa biashara zaidi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ina maana gani kuning'iza|kutundika viatu juu ya nyaya za umeme mitaani?

    kutundika viatu kwenye nyaya za umeme asili yake ni usa na maana ya kutundika ni sawa na rest in peace huwa vinatundikwa kwa kumbu kumbu ya vijana weusi wanauwawa mitaani iwe kwa ubaguzi na uharifu watu wanachukua viatu vya malehemu na kuvining'iniza kwa heshima tena mtaani kwao
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    umeulizwa?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lowassa ni Kweli Fedha zako Nimekula Lakini Naomba Unisamehe

    takukuru wapi kazi yenu anajipitisha mwenyewe
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini "kingmaker" Rostam Aziz amerudi nchini kipindi cha uchaguzi?

    mimi naona rost ham aongee kufafanua hayo
  15. N

    JamiiForums Tanzania Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    na mimi namuunga mkono mengi kujiunga na tbc saa mbili tbc hawana taarifa ya habari nzuri
Back
Top Bottom