Recent content by NGASEKU MDOGO

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Jamani naomba mwenye kujua ada ya post graduate diploma ya education na if usajili umeanza na kozi zinazosomwa kwa mtu Wa BA Economics .Ni kwa Open University of Tanzania plzz
  2. N

    JamiiForums Tanzania Open University of Tanzania

    Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada

    namba ya kulipia Azam TV via mpesa nitakosa match ndugu zanguni yeleuiiii
  4. N

    JamiiForums Tanzania Diwani mstaafu CCM ajiua kwa risasi

    Aisee RIP mzee wangu kama ni kweli maana mwanae nilisoma nae Mndiga Mkufya galanos form four class of 2003 pole sana ndugu yangu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naogesha mtoto

    Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto( Noah) choma na ugali; jamaa akamsabahi vipi bwana naona unapiga ugali hapo majibu aliyopewa saaa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

    Naombeni namba ya kuangalia salio nssf kupitia simu plz
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kura ya kutokuwa na imani na Mbunge wangu

    ungesema tukuunge mkono kwenda wizarani kumng' oa magembe ningekuelewa tatizo ni serkali c mnyika nunua uhai kubwa uogee had akili za kuondoa serikal hii ya majambazi uipate
  8. N

    JamiiForums Tanzania Gerard Hando - Clouds Media Group: nani amewatusi waasisi wa nchi hii??

    sasa mpaka Leo unasikiliza clouds ...pole
  9. N

    JamiiForums Tanzania Stupid question, stupid answer

    mchana kweupe mnasalimiana na mtu anakuuliza siku hizi hauonekani. jibu. washa taa kama sionekani
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Muhongo: Hakuna kushindwa hakuna kukatishwa tamaa

    muhongo mhuni Jana ametangaza project kibao fedha za ndani ni 5% anategemea misaada I top up kwenye salio huku bil 200 wamekwiba yaan daaah ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasss
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

    hujasema umri but umeathirika na movie za spider man
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

    barclays premier league
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

    barclays
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

    Kwa mwezi hamna contract ni bank ya waingereza kwa asili watu wameshapiga interview na kuitwa arusha huku
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ajira ya shilingi elfu tisini(90000)

    Hivi inawezekana kweli taasisi itangaze kazi kwa mshahara huu tena bank kubwa jamani hivi ni makusudi au ni dharau. Naomba mnisaidie watu wa sales ndo mishahara yenu hiyooo
Back
Top Bottom