Diwani mstaafu CCM ajiua kwa risasi

Diwani mstaafu CCM ajiua kwa risasi

Kwa hiyo alijiua baada ya kuona hawezi kumuambikiza mkewe?Au aliamua kujiua sababu alijikuta amekosa mahali pakulelewa akishaanza kuwa hoi?

huyu mzee dhambi nyingine iliyomtafuna kwa muda mrefu ni kwamba alikua anatembea na binti yake wa kumzaa,alimzaa huyo binti nje ya ndoa,sasa kitendo cha yeye kuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo binti kilipelekea mke wa ndoa na watoto kumtenga na kumuachia nyumba,alikanywa na wazee,ukoo,ndugu ila hakusikia,sasa ule upweke,mawazo,ugonjwa nadhani vitakua vimechangia kwa kiasi kikubwa yeye kujiua
 
Nilikuwepo Muheza miaka 6 ilopita nakumbuka huyu mzee alikuwa ni mmiliki wa bar moja kubwa hapo Muheza na ndiyo sehemu ambayo mm naikumbuka vizuri maana baada ya kazi mda mwingi tuliutumia kukaa pale kwenye bar yake na Rafiki yetu Rama Mzungu, R.I.P Mzee Mkufya

yeah hiyo pub ipo alive mpaka leo,ni ya kwake ila ndo hivyo dhambi zake zinamtafuna,katembea na binti yake wa kumzaa nje ya ndoa hadi mke wake na watoto wa ndoa waliamua kumtenga na kuhama nyumba
 
Diwani huyo mstaafu na kada maarufu mjenga chama wilayani muheza amejipiga risasi alfajiri ya leo;mpaka sasa uchunguzi unaendelea wa kubaini nini kimemsibu hadi kuamua kujipiga risasi mwenyewe;jina lake ni ndugu mkufya

Uchunguzi umefanyika? isije ikawa kama ile movie ya Mkurugenzi wa Ewura!!! hawa watu hawaaminiki tena kwa jamii... Pinda mesema WAPIGWE tu ...Mahakam ikabariki ..
 
Lazima kuna kitu kimemtatiza. mpaka akachukua maamuzi mazito kama hayo!
Labda aliona sura yake ataiweka wapi Tanzania hii!

RIP

huyu mzee ana mengi yanayomtatiza,alitembea na binti wa kumzaa nje ya ndoa,mke wa ndoa na watoto walimkimbia na kuhama nyumba
 
Aisee RIP mzee wangu kama ni kweli maana mwanae nilisoma nae Mndiga Mkufya galanos form four class of 2003 pole sana ndugu yangu
 
Hapo unampoteza kabisa,asubuhi unatakiwa unywe maji yasiyo ya baridi kabla ya kupiga mswaki,na mate yanayojaa mdomoni mara uamkapo ni vizuri kuyameza kwa ajili ya afya ya tumbo lako!!

Sina hakika lakini aliwahi kufanya kazi amani kwenye mradi wa malaria.
 
huyu mzee dhambi nyingine iliyomtafuna kwa muda mrefu ni kwamba alikua anatembea na binti yake wa kumzaa,alimzaa huyo binti nje ya ndoa,sasa kitendo cha yeye kuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo binti kilipelekea mke wa ndoa na watoto kumtenga na kumuachia nyumba,alikanywa na wazee,ukoo,ndugu ila hakusikia,sasa ule upweke,mawazo,ugonjwa nadhani vitakua vimechangia kwa kiasi kikubwa yeye kujiua

Yaani ndugu huyo nadhani shetani alimpenda zaidi.Mpaka mtoto wake alipekecha,hafai hata kwenda kwa shetani huyo.
 
Huyu mzee ni jirani yetu,sababu ya kujiua ni kwamba aliitelekeza familia akahamia kwa mchepuko kwa kipindi kirefu,sasa watoto wake waishio dar wakamchukua mama yao na kumtafutia biashara,mzee aliporudi nyumbani akakuta mkewe amehamia dar nyumba ipo tupu,alipopiama afya akajikuta ameathirika akaamua kujimaliza maana hakyona sababu ya kuishi,hapo ndo umuhimu wa kubaki njia kuu unapoonekana
khaaa hvi wkt anatesa mkewe huko mchepukon alikuwa anajiskiaje! mpk watoto wakamchkua mama yao' hakuna cha rip,mungu mweke panapostahili
 
siku ya kufa kamanda mbowe hadi masojaz tuta peperusha bendera nusu mlingoti.
Maana ni mkombozi wa kweli asiyejivunia utajiri wake bali anautumia kwa maslahi ya umma.

Sijawahi kuona Mkombozi mbumbumbu ka Mbowe. Wakombozi wote wanakuaga vizuri kichwani lakini huyu Mbowe ni kicha maji ndio maana alitaga mtihani wa form six
 
Dah anko wangu huyu anamiliki bar moja maarufu sana pale muheza, shida alipotea njia kwenda kwa intarahamwe
 
Back
Top Bottom