Piga picha kitu chako uweke hapa tuone ulivyorefusha........hahahahaha. Halafu nani kakwambia uume mrefu na mpana ndo dili. Watu wana vitu vidogo lakini ni kifimbo cheza!!
Kama kweli James umeandika wewe hii post basi wewe ni ----. Mbowe ajibu shutma. Zitto ni marafiki na Mkono amekiri, na Mbowe mamilioni haya yote yako wapi? Milya utakaa sana ukisubiri ulichokifuata Chadema maadam wewe siyo mchaga una kazi kweli nitakupigia simu baadae nikupe live
Mimi nimehudhuria na sijapewa nauli. Kama umekosa cha kupost soma za wenzako. Lowassa anapendwa na anapendeka. Hata wewe ungekuja ungemkubali tu! Toa hoja maana yake bado umeandika vihoja tupu
Loyal maana yake nini? We need a critical mind not a loyal mind. Hata kama Mandela na ZZK hawafanani then do not use wrong inferences to justify you bullshit arguments.
Your analysis is very through and scientific because it let's the results speak out of intentional or accidental actions,
Though it ignores the fact that human beings are egoistic in nature and the institution is made up of those very egoistic human beings. In a capitalistic society I do not...
WEWE ULIEWEKA HIZO PICHA HUMU UNAELEWA SHERIA INAWEZA KULUWEKA MATATANI? Nisamehe lakini I am so sure you are very stupid and lazy in thinking. Huu ni upuuzi na hatuwezi kuvumbia macho. Hata kama wamezini huna haki ya kuwahukumu na pili wana haki zao zinazowalinda. Tutajuaje kama una visa na...
Zitto na Nyerere hawafanani ila Zitto ni mwana-CHADEMA halisi. Lema na Mbowe kazi yao kutafuna pesa za M4C. Dr Slaa na Lissu hawaelewi chochote wanapelekwa tu kwa sababu ni wapenda madaraka. So wapenda madaraka Vs wapenda pesa
Zitto si zaidi ya CHADEMA lakini anatisha....Arusha Chadema imelazimika kwafuata watu Siko kuu tofauti na zamani walikuwa wanafanya mkutano Soweto na watu wanajaa. Sasa hivi wanafuata watu sokoni na bado watu wapo busy...... Lema anakera lakini anapendwa na vibaka wachache wa Ungalimited maana...
Kwani wewe ni bikra? Na ulitaka bikra au mke? Na ni nani kakuambia kuwa mwanamke bikra ndo anafaa kuolewa? Tunaungana wote kulaani kitendo ulichomfanyia huyo Dada. Nisamehe nikuite "MZINZI MKUBWA WEWE!"
Tunashukuru sana kwa uchambuzi huu ambae msomi yeyote mwenye kutaka uchambuzi makini ataukubali. Tatizo ni kwamba wa Tanzania wengi siku hizi wanapenda kudangnywa na propaganda. Simfahamu aliyechambua hizi documents lakini anaweza kuwa mwanasheria mzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.