Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

Lowassa, Jeshi lakununua halitakufikisha mzee wetu!

2015 Mungu anamjua raisi wetu nyie angaikeni tuuu
 
Haya mambo ni magumu ila el ameutamani sana urais akikosa anaweza dd
 
Namuonea huruma mzee huyu, na hasa ukizingatiwa kwamba tetesi zinasema MEmbe camilius ni next PM come 6januari

Ni Kweli ,Membe hiyo title ndio itakuwa Spring board kuelekea Urais 2015,lowasa anacheza mdako tu kama sio makidamakida.
 
Inawezekana anafaa kuwa kiongozi lakini siyo lazima awe rais maana urais ni nafasi nyeti sana kwake na sidhani kama ana uwezo huo kwa sasa
 
Acheni hoja zisizo na mashiko. Hakuna jeshi la kununua kama mnavyowaza. Nyote mnaompiga vita mjue wazi kuwa mti wenye matunda ndio unaolengwa mawe na mmekwishagundua kuwa Mheshimiwa Lowassa ndiye pekee kikwazo katika njia yenu kufikia nafasi kubwa. Hakika nilicheka sana nilipomsikia Sitta uwanjani akiwadanganya vijana ati Mosses atamwachia Joshua anayemtaka yeye na kudai ati wengine ni mafisadi. Kwa maono yangu Mheshimiwa Sitta ndiye fisadi mkubwa kwani ndiye alipokuwa Spika kwa malengo ya timu yake ambayo tumemwona nayo uwanjani wakaendesha mkakati wa kuvuruga baraza la mawaziri, lakini adhabu aliyopewa ya kunyang'anywa uspika bado anaona haimtoshi, anabaki kukashifu wengine huku yeye akiutamani ufalme kwa udi na uvumba. Kwa nini basi asiache uwanja huru ukaamua nani fisadi na nani mwadilifu, kuliko kila siku kuhubiri ati wengine mafisadi hali ya kuwa yeye ndiye fisadi aliyediriki kutumia rasilmali za taifa kujijengea ofisi ya gharama urambo. Nimtahadharishe tu mheshimiwa Sitta kuwa safari imeanza na kweli ina miiba lakini ushindi upo. Busara na yeye aangalie namna bora ya kujinadi kuliko kuwadanganya watu hususan vijana kuwa ati yeye ni msafi na mwadilifu. Nani asiyejua tafrija ya gharama kubwa aliyoifanya kuadhimisha jubilei ya ndoa yake ambapo aliwaalika viongozi wakuu. Jee huu sio ufisadi? mwadilifu unapata wapi mamilioni yote ya kuandaa mlo mzito kama ule. Kwako mwandishi nadhani ungetuambia ni jeshi lipi limenunuliwa na limenunuliwa kwa gharama gani, na ametoa nani. Mheshimiwa Lowassa anachoandaa ni UKUBALI wa wapiga kura kwake, nawe mwandishi waandalie watu wako UKUBALI wa wapiga kura lakini usiwadanganye kwa maneno yasio na mashiko.
Waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond Lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

Maswali niliyyojiuza kwani Lowasa anafanya hivi

Unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

Unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

Kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

Lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa
 
Muhimu hapa ni kujua kuwa jamaa kaamua kutumia umaskini walionao wapiga kura ili upate urais.
 
Mtaropoka sana lkn lowassa is next president,haongozwi kwa nguvu za kishirikina kama wengine wanavyo piga ramli
 
Sina hakika kama watanzania watamwamini na kumpa ridhaa ya kuwaongoza,ajitathmini tu kwa rejea ya Arumeru mashariki alipokwenda kumpigania mkwewe lakini waapi!CCM mpitisheni tu halafu muone CDM watavyopeta kiulaiiini.
 
Muhimu hapa ni kujua kuwa jamaa kaamua kutumia umaskini walionao wapiga kura ili upate urais.

Yaani huyu EL ana uchu na madaraka,sijui anataka kutufanya nini watanzania maana anafahamika kwa roho ya mbaya na visasi. Hivyo mimi nashauri kambi ya Sitta na Mwakyembe wapambane mpaka wahakikishe anapgwa chini maana kuna hatari ya kupoteza kwa kuwaua maana ndiyo walinena ukweli juu yake ambao ni dosari kwa maisha yake maana alitukosea sana watanzania huyu mamvi.
 
Mimi nimehudhuria na sijapewa nauli. Kama umekosa cha kupost soma za wenzako. Lowassa anapendwa na anapendeka. Hata wewe ungekuja ungemkubali tu! Toa hoja maana yake bado umeandika vihoja tupu
 
Lowasa ana pesa nyingi za kuhonga vyombo vya habari, wachungaji njaa, waendesha bodaboda ila atambue kuwa urais si wa kununua atanngukia pua tu. pole sana wapambe wake japo wengine mmefanywa wapambe kwa njaa zenu tu ili mfaidi angalau pesa zetu za richmond, dowans,n.k.
 
Muwe mnaongea mambo yenye ukweli,lowassa hana mshindani,wamekuja watu wenye uwezoo wao,harambee wamechangia marafiki waliotoka sehemu mbalimbali tanzania,mnaosema anagawa pesa na kununua watu ni wivu,fitna na majungu yasiyokua na maana,lowassa 4×4 far than any candidate,hafanyi siasa za majitaka kama hao mnaowapigia debe
 
Mimi nimehudhuria na sijapewa nauli. Kama umekosa cha kupost soma za wenzako. Lowassa anapendwa na anapendeka. Hata wewe ungekuja ungemkubali tu! Toa hoja maana yake bado umeandika vihoja tupu

kwahiyo wewe safari yote uliofanya ya kilometa 25 ulifuata wali tu !
 
Waziri mkuu aliyeachia ngazi baada ya kashifa mbaya ya richimond Lowasa bilaa kufafanua leo amesema kuwa aombewe kwenye safari yake aliyoanza

Maswali niliyyojiuza kwani Lowasa anafanya hivi

Unaandasherehe unatuma nauli kwa wahudhuriaji

Unachinja ng'ombe hamsini na mbuzi nyingi ili iweje ?

Kubwa sana kwanini utoe nauli kwa wahudhuriaji kama kweli wanakupenda wangekuja kwa hela zao wenyewe

Lowasa jeshi la kununua halifai wangekuja kwakupenda wenyewe ingekuwa sawa

Timu zinafanya mazoezi kujiandaa na ligi,wewe timu yako inasogoa na mwisho wa siku wakati wa mechi lawama kwa refa.komaeni wenye vyama,huu ni wakati wa mashambulizi na si wakati wa manung'uniko,we endelea kupiga mayowe,wenzako hawapigi mayoe na mambo yanasonga.
Unataka kuingilia ikulu huku unakaa na kulala chumbani ikisubiria uchaguzi 2015,lazima utolewe KO
 
ndugu huyu mwizi na fisadi anajua fika hana lolote yaani ndugu zangu wamasai wamepakiwa kwenye malori kama magunia ya maharage/mahindi then wakaenda kula makombo na kunywa goongo halafu anajifanya ana marafiki hajui watu wanamchora tu, HEBU AMUULIZE SAVIMBI KWAMBA JESHI LA KUKODISHA MWISHO WAKE NI MAUTI SHAME UPON THEM,
siku nyingine andika bila kuutwika dada , japo ulichoandika kina maana kubwa sana .
 
Back
Top Bottom