Recent content by Ngararimu

  1. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Je, na Rais Hayati Magufuli nae angestaafu angekuwa anaenda Bunju kwa 'Helicopter' kuiangalia Simba kama afanyavyo mwingine huko Kigamboni kwa Yanga?

    Ina maana Sana wala MOD isiiondoe mwache muhusika ajitetee kwa sababu yupo humu.
  2. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuhamia Mbeya, Nisaidieni info za mji ule

    Wachuna ngozi wapo huko mbeya pia.
  3. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Mama ni mzanzibar mwadilifu kuliko yule aliyetumwa na karume kwenda kununua meli ya mv mapinduzi. Angeenda chenge au mtu wa kutoka kabila la chenge ningekuwa na sababu ya kutia shaka. Ogopa sana male mzalendo anayetumwa kwenda kununua rada ya kulinda nchi yake anapiga diri. Harafu na mapato ya...
  4. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Segerea kazi yake nini?

    Acha umbeya wako makamu wa Rais huwa anafuata nini huko kisukuru?. Kwani kuna miradi ya maendeleo alikuja kuzindua huko. Labda alikuwa anapita tuu njia wewe unadanganya watu hapa
  5. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Single line hand held laser scanner

    Nipe bei mkuu
  6. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

    Linganisha mwenyewe ukipata jibu njoo
  7. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Kuchafua taswira ya Mkuu wa nchi huwezi baki salama!

    Rafiki yangu hakuna namna viongozi wanaotawala nchi katika mfumo wa vyama vingi wanaweza kuepuka haya, kukosolewa kwa lugha kali, kuchambwa kila wanapokwenda kinyume na katiba, kuzomewa kila wanapotamka kinyume na matarajio ya wanaowaongoza, kuburuzwa mahakamani, kuchunguliwa mpaka nyuma ya...
  8. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Simba 2 yanga 1 kande zimeshakuwa biriani. Ebo
  9. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Mko wapi tujuane

    Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia. 1.Umbwe 2.Lyamungo 3. Moshi Technical 4. Old moshi 5.weru weru girls 6.Ashira girls 7. Machame girls 8. Mawenzi 9. Kibohehe 10.kibosho girls 11. Maua semiari 12. Uru...
  10. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Makosa yapo mengi mimi siyataji tumsubiri Sugu aje atayasema maana yalimkuta. Kubambikiwa kesi, kuweka gerezani bila sababu, biashara yake ya hotel Desideria kutaka kubomolewa bila sababu, vyombo vya dola na taasisi za serikali kulazimishwa wamhujumu bila sababu n.k kiukweli ubaya wake ni mwingi...
  11. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Aalikuwa hakosi ibada ya asubuhi siku za kazi hata siku moja pale cathederal ya mbeya kama hajasafiri. Pia alikuwa mchangiaji mzuri kanisani zaidi ya MTEUZI wake.
  12. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Nifuate in box kwa kweli nimekuelewa sana. Na nitazidi kukuelewa kama tutakubalina unipokee kama Mariooo na unithamini kuliko pesa shost.
  13. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

    Ndio wameingiza hizo kilo 87kgs ambazo zimekamatwa kwenye land criser Dar leo.
  14. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Nimeshangaa waziri wa nishati, katibu mkuu wake na wahusika wote wa kitengo Mafuta bandarini bado wanaendelea kutumikia nyadhifa zao baada ya mkuu wa mkoa wa Dsm kufichua ufisadi huu kupitia vyombo vya habari. Raisi Samia ameagiza kila anayekosoa serikali yake atoe na mapendekezo ya hatua za...
  15. Ngararimu

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote

    Na wewe tafuta za kwakoule bata kidogo kabla Allah hajachukuwa pumzi yake broo acha kulia lia kama Demu aliyeumizwa.
Back
Top Bottom