Mko wapi tujuane

Mko wapi tujuane

Sisi tuliokuwa chini ya waziri waelimu akiitwa CHEDIEL YOHANA MGONJA na chuo cha malimu nyerere kivukoni kikiitwa CHUO CHA TANU

Unatuweka kundi gani mkuu
Waite jamaa zako waje mkuu, make Enzi kuanza form kama umeingia jela mara ya Kwanza, usishangae wewe na mzazi mkapokelewa na wajuba na kupelekwa chooni, alafu ukifika huko unaambiwa piga push up kwenye shimo la Choo, Enzi za kupiga simu Kwa kutumia kiatu cha mhuni na kinanuka zaidi ya Choo cha soko la manispaa
 
Pwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Mara kulikuwa na shule tatu, Mara,Musoma Alliance na Tarime
 
Walipishana kama sikosei makweta ndo alimwachia Sarungi, ikiwa form four ulifanya mtihani wa siasa wewe ni Kaka, lakini kama umefanya civics na ukiwa umeisoma civics wewe ni mdogo wangu. Mimi ndo tuliofanya mtihani wa Kwanza wa civics
Ha ha ha maveterani tupo wengi humu. Halafu vijana waliozaliwa 2003 wapo humu wanatuletea dharau,dah!
 
Mara kulikuwa na shule tatu, Mara,Musoma Alliance na Tarime
Mara mlikua juu ya Mwanza.
Mwanza hakukuwa na high school.
Zote zilikua 0 level. Kina
Nganza girls
Lake n.k
Enzi zile sikubahatika kukaa Mwanza. High school zilikua Shinyanga Tena 2
Shycoom yenye form five na six tu na Shybush kule Maganzo. Halafu Kuna shule moja iko pale town center Shy nimeisahau jina.
Nitakuja baadaye kuleta madudu au tuseme CV ya Mgonja alipokua waziri wa elimu.
Tanzania tumepitia........
 
Wale tulioburuza enzi hizo hadi tukawa tunawindwa na wajinga wajinga washuhudie namna kipanga anavyofanana......wanaishia kukutana na dogo mmoja mfupi asiye na makeke.....
 
Pwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Wale Haters kuhusu Wachagga waje waisome hii,ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
 
Kabisa mkuu kilikuwepo kile cha wakatoliki sjui Kama Bado kpo Kuna kipind kilizuiliwa kudahi

Kipo chuo kikuu cha madaktar hapa peramiho sjui kinaitwa St James vjana wanasoma ila kimezuiliwa kudahil wengine had marekebisho yafanyike
Nilibahatika kumiliki mtoto mkali songea mtamu. Uchi dabradbra usomakovu. Shimofupi
 
Wale Haters kuhusu Wachagga waje waisome hii,ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia.
1.Umbwe
2.Lyamungo
3. Moshi Technical
4. Old moshi
5.weru weru girls
6.Ashira girls
7. Machame girls
8. Mawenzi
9. Kibohehe
10.kibosho girls
11. Maua semiari
12. Uru seminari
13. St. James seminari
14. Kiraeni sekondari
15...........100 orodha hii ni kwa zile shule zilizokuwepo kabla ya mwaka1980 tuu. Tusiweke sekondari za kata. Karibuni wadau mchangie. Ili kuufahamisha uma wa Tanzania kwamba wakati makabila mengine yakiwa yamelala usingizi wao waliamka na kuwekeza kwa kiasi kikubwa kwenye elimu. Hivyo nafasi mbali mbali wanazoshikilia siyo kwa upendeleo wala bahati mbaya na wataendelea kuwa mbele sana isipokuwa kwenye zile nafasi zinazotolewa kwa uteuzi wa Rais au hisani za kisiasa kama wakuu wa wilaya, mikoa, mabalozi, wakuu wa taasisi wakirugenzi n.k
 
Ndio. Kabla ya 1980.
Umethahau Thame sekondari
 
Wale ambao baada ya hapo tulianza kuunga unga na Leo hii tuna digrii na tunapiga hela kuliko hela kuliko waliopiga one za Saba na one ya tatu A levels, lakini Leo hii wako chini yetu tukiwafanyia tathmini za kiutendaji.
sawa HR umesomeka vema
 
Ebu subiri kwanza,Phisics ndo somo gani hilo?
Tumia muda kidogo kutafakari hivi ni Kwa nini Msimamizi wa Research anaipitia na anakurudishia ufanye marekebisho. Vema chukuwa mtiririko wa maneno ukiachana na spelling errors huu siyo mtihani wa kuandika maneno Kwa sahihi
 
Pwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Mkwakwani vp
 
Prof.Majimarefu
 
Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia.
1.Umbwe
2.Lyamungo
3. Moshi Technical
4. Old moshi
5.weru weru girls
6.Ashira girls
7. Machame girls
8. Mawenzi
9. Kibohehe
10.kibosho girls
11. Maua semiari
12. Uru seminari
13. St. James seminari
14. Kiraeni sekondari
15...........100 orodha hii ni kwa zile shule zilizokuwepo kabla ya mwaka1980 tuu. Tusiweke sekondari za kata. Karibuni wadau mchangie. Ili kuufahamisha uma wa Tanzania kwamba wakati makabila mengine yakiwa yamelala usingizi wao waliamka na kuwekeza kwa kiasi kikubwa kwenye elimu. Hivyo nafasi mbali mbali wanazoshikilia siyo kwa upendeleo wala bahati mbaya na wataendelea kuwa mbele sana isipokuwa kwenye zile nafasi zinazotolewa kwa uteuzi wa Rais au hisani za kisiasa kama wakuu wa wilaya, mikoa, mabalozi, wakuu wa taasisi wakirugenzi n.k
Acha uongo wew.seminari ya kwanza nchini ilifunguliwa mwaka 1903 huko bukoba inaitwa Rubya seminary na ndo imetoa mapadre wa kwanza nchini,maaskofu wa kwanza pamoja na kardinali wa kwanza mweusi duniani Kardinali Rugambwa.

Hizo seminary za juzi tu Wala sio za 1800s
 
Back
Top Bottom