Nafikiria kuhamia Mbeya, Nisaidieni info za mji ule

Nafikiria kuhamia Mbeya, Nisaidieni info za mji ule

Joined
Feb 20, 2022
Posts
19
Reaction score
22
Habarini wakuu,

Naombeni kujua kuhusu uchumi wa mbeya, fursa, utamadumi wa wanajamii wa Mbeya na kasi ya mzunguko wa pesa.

Karibuni
 
Ila Mbeya Kuna vituko sana.
Ukiwa huku hakikisha nyumba yako iko very much sealed. Vinginevyo utakuta unaamka asubuhi wametupia humo nyoka, vyura, vyuranyoka(kichwa chura kiwiliwili nyoka)
Ajabu sana!
 
Mbeya kiepe cha buku unakula unashiba unaacha… [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom