Asante, na je Kuna speaker ambazo zinabass nzuri inayojitegemea? Subwoofer yangu ina spekaer 5 lakini zote Zina cheza kama tweeter tu hazina bass, Bass inatoka Moja kwa Moja kwenye Radio yenyewe. Nilikua nataka nifaham kama Kuna speaker ambazo angalau Bass yake ni nzuri ambayo ikiungana Ile...
Unaweza tumia speaker nyingine tofauti na zilizokuja nazo? Natumia Boss ila bado siridhiki na Bass lake japo ziko Vzr Sana.
Pia naomba kuuliza speaker zipi nzuri zenye bass ambazo naweza kuzitumia kama mbadala asante
Mkuu huo ni mfano usio na mashiko, Ugiriki na Tanzania ni jamii mbili tofauti kabisa, tuna taratibu na Tamaduni mbili zisizoingiliana kabisa. Huko hata Mtoto kumkaripia mzazi na kumshtaki Kwa kosa la kumchapa ni Haki.
Sisi tuna Utaratibu wetu, na Hiki nilichoongea ni Moja ya Utaratibu wetu kama...
Kwanza kukujibu hoja zako nianze Kwa kusema Binadamu Kiasili ni Mnyama, kinachotutofautisha ni features. Kila Mnyama ana Kila kitu ambacho Binadamu anacho utofauti ni katika ufanyaji kazi na Muonekano.
Pili sijasema kizazi changu ni Muhimu kuliko Cha Mtu yoyote Bali nimeongea Kwa Ujumla. Kuna...
Kwa Dunia ilipofikia Sasa Swala la KUPIMA DNA linapaswa liwe ni swala la Lazima Ili Kumlimda Baba, Mama na Mtoto kwa Ujumla.
Usipojua uhalali wa uhusiano wa Damu katika familia Yako inakuweka hatarini kupoteza kizazi Chako na pengine wewe ndio unaweza ukawa Mtu mwa mwisho katika kizazi Chako...
Ukimpeleka kwao akirudi anakuua, atakua kashasuka mipango swafi na Idea kama zote, Familia ishampa sumu za Kutosha akirudi huchukui raundi tunamuimbia muhuni
Wala sio swala la WALIMU! Swala ni Manpower, Mtu mmoja Maswali yake kwenye kishikwambi ni 100, Akiwa mwanamke yanazidi zaidi ya hapo, imagine umekuta kaya Ina Watu 10 maana yake utawauliza Maswali 1000, kwahiyo hata ukiwa spidi Kiasi Gani huwez kutoboa Kaya zaidi ya 17 Kwa siku. Cha msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.