Sidhani kama ni sawa na Salama Kuwapeleka Madaktari Wetu Kenya. Usalama wao Utakuwa mashakani saaana kwa hali ilivyo sasa. Hata kama tungekuwa Nao wa kutosha na kupitiliza.
Usalama Kwanza.
Lowasa amekukosesha usingizi eeh?
Pole sana.
Pressure itawauwa Mwaka huu.
Angalia Maisha yako achana na Lowasa achana na Ukuta.
Pili Pili usioila yakuwashiani?
Haya mambo ya Kunyanyasa Wapinzani tana Mwisho wake.
Na hauko Mbali.
Uraisi ni jambo hakutarajia. Pia limemzidi uwezo..
Nadhani hajiamini.
Na mbaya zaidi ccm kuna wanafaiki wengi saaana. hawaambianagi ukweli wote.
Uongozi ni Influence sio mabavu na fimbo sitasita.
Kwa design hii.......
Muhimu:
Ni Muhimu Kuhamia Dodoma.
Lakini
Si-lazima kwaharaka namna hiyo.
Muhimu
Kuwasaidia wagonjwa wa pale Ocean Road Hospital kwa Vifaa na Madawa na pia Wataalamu wa kutosha
Ni Lazima
kufanya hivyo kwa sasa kuwasiadia Ndugu zetu.
(Unaweza kuongeza orodha ya mambo ambayo sio tu ni muhimu...
CCM ni chama limekuwa chama dhaifu sana kwa muda mrefu na sioni kama wana mpango wa kuachana na udhaifu wao. Hizi ni baadhi ya sababu au mambo yanayopelekea nikasema hivyo.
Unaweza kuongeza zingine pia;
1. Hawashindani kwa haki au Kihalali
Mtu anaposhindana na mpinzani wako huku umejijengea...
Hivi unadhani ccm wana haki miliki ya hii Tanzania ?
Ni nani aliyempa Raisi malmaka ya kuamulia watu wengine waishi vipi na wafanye vipi mambo yao?
Je, Katiba ya Nchi hii inasema nini juu ya uhuru wa kukutana kuandamana ?
Kwani Raisi Magufuli yuko juu ya Katiba? Si jambo zuri hata kidogo...
Mkuu uko sahihi.
Huyu jamaa anahiyo tabia mbaya ya kukatiza wageni wake wanapookuwa wanashusha points.
Nakumbuka siku alipokuwa na Mch. Msigwa. Sikupfurahia kabisa tabia yake hiyo mbaya. N hasa mtu anapotoa maoniyanayotofautia na serikali au kuikososa serikali.
Ajirekebishe.
Haya yote yanayotokea ni dalili wazi za kuchoka kwa ccm. Madudu madudu tu.
N kulazimisha mambo kutawagharimu sana.
Hakuna ridhaaa ya wananchi kuongozwa na ccm.
Tangu Lubuva ameaanza kutangaza matokeo feki, sijakutana na zaidi ya watu 3 wanaofurahia au kushangilia.
Ninakutana na watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.