Hizi ndio sababu kuonyesha kuwa CCM ni chama dhaifu sana

Ngano

Member
Jul 1, 2012
64
18
CCM ni chama limekuwa chama dhaifu sana kwa muda mrefu na sioni kama wana mpango wa kuachana na udhaifu wao. Hizi ni baadhi ya sababu au mambo yanayopelekea nikasema hivyo.
Unaweza kuongeza zingine pia;

1. Hawashindani kwa haki au Kihalali
Mtu anaposhindana na mpinzani wako huku umejijengea mazingira ya kusinda kiupendeleo
Huwezi kuwa na ujasiri wa kufurahia ushindi wako.
Na asiyeshindana kwa haki au kihalali hastahili kupewa taji.
Hapa zingatia Tume ya Uchaguzi na resources nyingi za umma ambazo huwa zinawa-favour CCM.

2. CCM wanawaogopa sana wapinzani hasa UKAWA.
Angalia katazo la mikutano ya kisiasa maandamano nk.
Kama wanajiamini woga wa nini ?
Uchaguzi wa mwaka jana ulionyesha wazi jinsi walivyo weak.
Kama utabahatika kusoma ile report ya uchaguzi aliyokabidhiwa raisi Magufuli kule Dodoma unaweza kuona

3. CCM wanawaogopa sana BAVICHA.
Hebu kumbuka ukubwa wa ulinzi askari vifaa nk vilivyolundikwa Dodoma wakati wa
mkutano wa kumchagua rais Magufuli kuwa kiongozi Mkuu wa CCM.
Yaani BAVICHA tu wanaweza kuwatisha CCM namna hii? Duuh BAVICHA mpo juu saaana.

4. Wanashambulia watu wanahama chama chao kana kwamba watu hao hawana uhuru wa kuamua wanachotaka na kwa wakati wanaotaka wao. Huu ni udhaifu mkubwa sana.

5. Kujihesabia haki kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kutawala Tanzania milele.

6. Kutumia ufahamu mdogo wa watu vijijini kama mtaji wao wakisiasa. hii wamefanya
kwenye chaguzi nyingi tu.

7. Ni wepesi sana kuhumu madhaifu kwa wengine (kama yapo au hayapo) huku wakisahau kuwa upande wao umejaa uozo huohuo kwa kiwango cha ajabu. Hii tabia mbaya saana. Ni udahifu mkubwa sana, kujidhania huna shida wakati umejaa matatizo.

8. Kutupilia mbali Rasimu ya Katiba ya Warioba. That was really bad a mistake.

9. Mara nyingi hawajui ni Mambo gani ni Muhimu lakini Si ya Lazima kwa sasa.
Mfano: Kuhamia Dodoma ni Muhimu ssaaana. Lakini sidhani kama ni Lazima saana kwa
haraka kubwa namana hiyo wakati pale Amana Hospital Madaktari hawatoshi Manesi hataoshi wala hakuna Dawa za kutosha.

10. Wanatabia mbaya ya kufunika mambo ambayao wanaona yanawagusa watu wa juu katika chama au serikali. Scandals mbalimbali. You can name them.

11. Issue ya Mikataba tata ya madini, umeme nk. Wewe mwenyewe mambo yalivyo.
Sina uhakika wapinzania wangechukua Njii hii nini kingetokea.

12. Issues za Liliondo na hakiza Binadamu.

13. Wanawaogopa saana Mbowe Lowasa Tundu Lisu Sumaye na wengine. Hasa Lowasa.
Anawapa shida saaana. Mtu mmoja tu hawaishi kummuongelea ! Duuh ! Mtu
alishaondokaga laikini wao bado tu wanae. Sijui Tabia hii inaitwaje kwa Kswahili.

14. Kitendo cha Twiga kupakiwa ktk ndege na kupelekwa nje ya nchi. Duuh. Balaa. unaweza endelea na orodha
 
Hizi siasa zitakufanya Uwe chizi,huwezi ondoa CCM madarakani hasa Kwa kipindi Hiki,hizi chuki mnazoendeleza baada ya fisadi lenu kukosa uraisi mwaka Jana hazitawasaidia kitu,na mkiendeleza harakati zenu acha mpigwe,mvunjwe miguu na mtembelee magongo,fanyeni kazi Kwa bidii,Raisi ni Huyu Huyu John Pombe Joseph Magufuli wa CCM na bado Yupo sanaa,kama hamtaki labda muhame nchi.
 
CQnPIquVAAEYPiY.jpg

CRtWHzpW0AABAon.jpg

observer1994.jpg

dkmagupombe.jpg

kikombe cha babu why?something long to....

swissme
 
Picha zilisambaa nyingi zaidi ya hizo,mojawapo ya waliotufikisha Huko ni fisadi aliyehamia Huko tena Kwa kutoa pesa nyingi,uchaguzi umeisha mwaka Jana,na fisadi lenu liliwaambia msiposhinda 2015 hamshindi tena mpaka miaka 50 ijayo,wakati watoto wakisoma bure na shida ya madawati inamalizwa nyie mpo bize na mikakati ya kushikishana UKUTA ,unafikiri wananchi wa chini watamuelewa nani??.. Narudia kuwa kumbuka Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni John Pombe Joseph Magufuli wa CCM na zamu hii lazima awabatize Kwa MOTO,mtabamizwa na kutenguliwa miguu mpaka mpate akili ya Ku google neno DEMOCRACY & DICTATOR,mkishajua maana ndo akili itawarudia,Kwa watu wasiotumia akili ni kupelekwa kibabe tu na tutafika tu,asiyetaka ahame nchi.
 
We kejof2 siku ukikua utaona kuwa ulikuwa umepotea kama sisi wapinzani tunaumizwa na huu udikteta pekeee yetu basi Hamna shida lakin kumbuka katika huu huu upinzani WaPo na ndugu zako kama we hauumiii wataumiiia wao siku wakifa utapata akili #UKUTA
 
Hivi wale red brigade makomandoo,mbona wameyayuka au wanaogopa virungu.
 
ccm ni chama limekuwa chama dhaifu saaana kwa muda mrefu na sioni kama wana mpango wa kuachana na udhaifu wao. Hizi ni baadhi ya sababu au mambo yanayopelekea nikasema hivyo.
Unaweza kuuongeza zingine pia;

1. Hawashindani kwa haki au Kihalali
Mtu anaposhindana na mpinzani wako huku umejijengea mazingira ya kusinda kiupendeleo
Huwezi kuwa na ujasiri wa kufurahia ushindi wako.
Na asiyeshindana kwa haki au kihalali hastahili kupewa taji.
Hapa zingatia Tume ya Uchaguzi na resources nyingi za umma ambazo huwa zinawa-favour
ccm.

2. ccm wanawaogopa sana wapinzania hasa UKAWA.
Angalia katazo la mikutano ya kisiasa maandamano nk.
Kama wana jiamini woga wa nini ?
Uchaguzi wa mwaka jana ulionyesha wazi jinsi walivyo weak.
Kama utabahatika kusoma ile report ya uchaguzi aliyokabidhiwa raisi Magufuli kule Dodoma
unaweza kuona

3. ccm wanawaogopa saaana BAVICHA.
Hebu kumbuka ukubwa wa ulinzi askari vifaa nk vilivyolundikwa Dodoma wakati wa
mkutano wa kumchagua raisi Magufuli kuwa Kiongozi Mkuu wa ccm.
Yaani BAVICHA tu wwanaweza kuwatisha ccm namna hii? Duuh BAVICHA mpo juu saaana.

4. Wanashambulia watu wanahama chama chao kana kwamba watu hao hawana uhuru wa
kuamua wanachotaka na kwa wakati wanaotaka wao. Huu ni udhaifu mkubwa sana.

5. Kujihesabia haki kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kutawala Tanzania milele.

6. Kutumia ufahamu mdogo wa watu vijijini kama mtaji wao wakisiasa. hii wamefanya
kwenye chaguzi nyingi tu.
7. Ni wepesi sana kuhumu madhaifu kwa wengine (kama yapo au hayapo) huku wakisahau
kuwa upande wao umejaa uozo huohuo kwa kiwango cha ajabu. Hii tabia mbaya saana. Ni
udahifu mkubwa sana, kujidhania huna shida wakati umejaa matatizo.

8. Kutupilia mbali Rasimu ya Katiba ya Warioba. That was really bad a mistake.

9. Mara nyingi hawajui ni Mambo gani ni Muhimu lakini Si ya Lazima kwa sasa.
Mfano: Kuhamia Dodoma ni Muhimu ssaaana. Lakini sidhani kama ni Lazima saana kwa
haraka kubwa namana hiyo wakati pale Amana Hospital Madaktari hawatoshi Manesi hataoshi
wala hakuna Dawa za kutosha.

10. Wanatabia mbaya ya kufunika mambo ambayao wanaona yanawagusa watu wa juu katika
chama au serikali. Scandals mbalimbali. You can name them.

11. Issue ya Mikataba tata ya madini, umeme nk. Wewe mwenyewe mambo yalivyo.
Sina uhakika wapinzania wangechukua Njii hii nini kingetokea.

12. Issues za Liliondo na hakiza Binadamu.

13. Wanawaogopa saana Mbowe Lowasa Tundu Lisu Sumaye na wengine. Hasa Lowasa.
Anawapa shida saaana. Mtu mmoja tu hawaishi kummuongelea ! Duuh ! Mtu
alishaondokaga laikini wao bado tu wanae. Sijui Tabia hii inaitwaje kwa Kswahili.

14. Kitendo cha Twiga kupakiwa ktk ndege na kupelekwa nje ya nchi. Duuh. Balaa.

unaweza endelea na orodha
Kushindwa na wadhaifu ni aibu sana. ..barikiwa my friend
 
Mwezi huu wote watahangaika na UKUTA , police utawasikia, msajiri wa vyama utamsikia, Lumumba nzima kazi zitazimika kuijadili UKUTA. Hii ni dalili Tosha ya udhaifu
 
Hivi wadau ajira lini? Naona km wapo bize sana. Sasa hiv naona wanataka kwenda dom kuweka makao. Wanaweza wakaajiri kweli?
 
TANESCO wanalipa IPTL mamilioni ya bure kila mwezi kwa mkataba nyonyaji ila tuna raisi anayepinga malipo hewa.....
 
Uimara au udhaifu wa chama hupimwa kwenye uchaguzi.Ukibwagwa wewe dhaifu.Full stop.HIZO ZINGINE POROJO.Vyama vyote vya UKAWA ni dhaifu kwa kuwa vilibwagwa kwenye uchaguzi.
 
Uimara au udhaifu wa chama hupimwa kwenye uchaguzi.Ukibwagwa wewe dhaifu.Full stop.HIZO ZINGINE POROJO.Vyama vyote vya UKAWA ni dhaifu kwa kuwa vilibwagwa kwenye uchaguzi.
1469774569310.jpg
Cheki hilo Bango linalosomeka Mheshimiwa Tunaomba Sukari Ishuke bei.
 
Udhaifu mwingine ni kutoa mishipa na ufahamu kuitetea CCM angali wanao/ familia yako inashindwa hata kupata nusu dozi ya typhoid kwa shida ya kutopata maji safi , salama na ya uhakika.
 
Back
Top Bottom