Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Mimi nashangaa, mtu amekufuata kukutongoza PM. Umashindwa tu kumjibu aisee mm Nina mke/Mme au mchumba au am not gay na mkamaliza huko hadi uje ututangazie kuwa umetongozwa? Na dada zetu pia basi waweke threads kilA wanapotongozwa.
Sio kawaida kutongozwa na mwanamme mwenzio ndiyo maana imeletwa huku, na ikinitokea mimi siwezi jibu eti mimi nina mke, kwa sababu yeye sio mwanamke. Inaletwa hapa ili sisi wengine tuchukue tahadhari juu ya watu hawa, siwezi tongozwa na mwanamke nikaja kutangaza hapa sababu wao wameumbwa kufanywa hivyo.
 
Itafika wakati hili jambo litakuwa kawida ktk jamii masna kwa jinsi jamii inavyolijadili ndivyo linavyozoeleka na kuonekana siingeni tena ktk jamii, ili nyimbo mpya ikubalike ktk jamii ni kupigwa sana ktk radio station na vituo vya television. Hii nyimbo ya ushoga inapigwa sana na imombio kukubalika ktk jamii. Mungu tuepushe kikombe hiki.
 
Sasa cha kusikitisha nini hapo
Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga maana ndo kubwa zaidi Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 ,walawi 18:22
Mungu akuguse ili umrudie ndani ya mwezi huu yatafakar maisha yako ujisahihishe kumbuka Mungu anatupenda usikubali nguvu ya shetani ikutawale mgeukie mungu kijana wenzako wamekufa vifo vya aibu jionee huruma sikutegemea kama hata jf mpo me inasikitisha sana
 
Wakuu wa Nchi hii walipaswa kupambana kuzuia mambo machafu kama haya na Sio kuzuia shughuli za Kisiasa hapa Tanzania.
 
Huyu dogo kwenye hii video Mh ana mapozi kuliko wanawake wenyewe
 
Back
Top Bottom