Recent content by Ngandula

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mh. Suzanne Kiwanga mbunge wa Jimbo la Mlimba, umeme utawashwa lini vijiji vilivyobaki?

    Kwa hiyo Jimbo la Mlimba wanaishi wandamba tu? Kweli makada wa cdm ni mzigo kwa chama chao.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Magereza badilisheni utaratibu wa kuchagua askari kwenda kozi ya uafisa nyota moja

    Ndo mana mbaka leo hii wanashindwa kufanya marekebisho ya mishaara kila askari alipwe kutokana na elimu yake kwa sababu wanajua kijana mwenye degree ata akiwa Ward au Wadress atakuwa anapokea mpunga mrefu kuliko hivyo vizee vyao vya nyota 1,2 au 3 mana vingi avina elimu kisa ana mda mrefu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Magereza badilisheni utaratibu wa kuchagua askari kwenda kozi ya uafisa nyota moja

    Jeshi la Magereza badilisheni utaratibu wa kuchagua askari kwenda kozi ya nyota moja. Yaani mnachaguaga wazee ambao tayari wameshafika umri wa kustaafu kwa rank zao za vyeo na kuacha vijana wenye elimu na uwezo wa kufanya kazi vizuri ili kufanya Jeshi la magereza lenye mwendokasi. Waziri na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Livingstone Lusinde kuwa na fikra kama Hussein Mohamed Bashe.

    Huyo ni kichwa tope siku zote
  5. N

    JamiiForums Tanzania Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

    Hilo huwa ni lakuongeaga pumba siku zote na ubunge wa kurithishwa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwastaafishe watumishi wake wasio productive

    Huku Jeshi la Magereza wapo kibao wana vyeo vikubwa sana ila kazi yao kunyanyasa maaskari wa vyeo vya chini.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo yakamilisha uchambuzi wa maombi ya mikopo, 20,183 wapata kati ya 88,163 walioomba

    Si mlisema serikali awamu ya 5 ni sikivu sasa mtaisoma mbaka 2020
  8. N

    JamiiForums Tanzania Watetezi wa 'scorpion' walikurupuka

    Saa 4 usiku buguruni ndo mishemishe zimepamba moto hivi ni kweli Said awe anapigwa na kutolewa macho kwa ule umati wa watu wamwangalie tu? Alafu huyu scorpion kama kibaka mbona hakuchukua chochote kwa saidi?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kabla mkopo haujatoka, ada ya chuo unalipa yote?

    St. John kwa anayejua utaratibu wao.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

    Udom kile cha kata?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Michezo la Tanzania lakana kutambua ukodishwaji wa Yanga

    Manji anaitaka timu yake
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mrema na Majaliwa walipotembelea magereza Dodoma Mkuu wa Gereza la Dodoma afuja fedha za Madawati

    Na huku tabora askari wanachangishwa pesa za madawati wakati serikali imetoa fungu tunakuomba w/mkuu uje utumbue
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Si mliwapeleka wenyewe JKT kwa mujibu sasa ndo matokeo yake hayo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba wasimamie askari police na magereza walipwe mishaarayao toka mwezi wa 7.

    Alikuwa aelewi si unajua watumishi wageni awajui lolote muelekezeni ili aelewe.
Back
Top Bottom