Recent content by ng'ana nkamba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kipi unamiss toka kwa mpenzi wako wa zamani?

    Wapi nifaidi. Alikuwa anakera hasa. Uende out hakuna kuongea na mtu. Du. Sitaki kukumbuka zamani.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kipi unamiss toka kwa mpenzi wako wa zamani?

    Kutukanwa njiani ukisalimiwa na mtu, kulazimishwa kwenda out, kuletewa zawadi kila wiki. Wivu wa kupindukia. Oh huyu ni nani, unasubiliwa ofisini mlangoni usipitie mahari popote. Out za kumwaga.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe usafi ukizidi sana nao kero?

    Ni wewe na kichwa chako na uamuzi wako. Serikali yako inasemaje?. Ukiona hauwezi pita kimya.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwani shi'ngapi? Aaaagghh!

    Kwa kweli. Usisahau kuleta na mrejesho baadaye.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kumsamehe baba mzazi

    Watu wengi huwa tunafukunyua mambo tukidhani yatatuletea furaha ila mala nyingi huwa ni huzuni. Ulipofikia inatosha. Ulitaka kumjua ,umemjua. Endelea na maisha yako. Msamehe usijibebeshe laana yake. Baba aliye kulea ndo baba yako. Mkuu pole sana hauko peke yako wapo wengi.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kwani shi'ngapi? Aaaagghh!

    Na jeneza shi ngapi. Na zile dawa baada ya kuumwa sh. Ngapi vileeee. Ahh. Napita tu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe usafi ukizidi sana nao kero?

    Kuna watu wako hivyo. Ila hawako sawa ni ugonjwa wa akili. Anahitaji tiba. Ndugu yangu mmoja yuko hivyo huwa anatusumbua sana.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta

    Ukiandika kwa kifupi toa na maana yake. Nini hiki?.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wadoeaji muwe na heshima

    Usigombe jf. Mweleze mwenyewe live. Atakuelewa. Au mkuu unamuogopa?.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ving'ang'anizi sana

    Mwambie usoni usimuogope. Atapata mwingine ataziba pengo lako. Ila usijute baadaye kwa nini ulimwacha.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nimefika home kutoka safarini, ananing'ang'aniza tufanye tendo la ndoa bila kinga

    Mpe. Vaa cond.m. umsikilizie. Yaweza kuwa mtego huo.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Simu iliyobadilisha maisha yangu

    Huwezi vunja ndoa kwa kisikiliza maneno ya mtaani. Utavunja ngapi. Umeongea na mumeo. Kakuambia nini. Je usingeambiwa na huyo ajuza juu ya huo uhusiano usingekuwa unajua. Je lipi bora., kuachwa huyo ajuza na wewe kujua au kutokujua na wao waendelee ukiwa ndani ya ndoa. Punguza hasira. Ongea na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lips zake zimenichanganya

    Crash zimekwisha. Umewaanzia serengeti au sijakuelewa mkuu.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naacha uaminifu rasmi

    Umeanza na kupata hao michepuko. Kumbuka kuweka pesa ya kujitibu baadaye. Homa za mala kwa mala. Na kuharisha kusikosikia dawa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake wa Jamiiforums

    Je na yeye anajuaje hiyo mimba ni yake?. Aloenda nje na kibinti?. Je kama kabambikiwa?.
Back
Top Bottom