Kumbe usafi ukizidi sana nao kero?

Kumbe usafi ukizidi sana nao kero?

mmmmmh! hiyo namba 3 naona kama imechachuliwa vileeeee.......mmmmmmh! haya lkn yawezekana ikawa kweliiii
 
mi najua kuna watu wavuta bangi wanakuwa wasafi kupita kiasi ila huyo ndo kiboko
 
sisi tuliwahi kuwa nae highschool yeyey alikuwa anapima kitanda kama kimenyoooka akitandika nakaa engo moja anachunulia kwa jicho moja ,kutandika kitanda nusu saa,kandmbili zake unaweza kuwekea msosi ukala tatizo uginjwa wa typhoid ulikuwa hamuachii
 
Kuna watu wako hivyo. Ila hawako sawa ni ugonjwa wa akili. Anahitaji tiba. Ndugu yangu mmoja yuko hivyo huwa anatusumbua sana.

Nicheke mie, hivi ukikuta post inakugusa unafanyaje ? Upite kimya kimya au una-comment?
 
Kupiga deki kabla ya kuoga namuunga mkono, ili kuondoa vijidudu mbali mbali vya maambukizi ya magonjwa kama uti. Hvy yupo sahihi. Nawengine naomba tuwe na desturi ya kusafisha choo kabla na baada ya kukitumia.nampongeza sana katika hili.
 
Kuna jamaa yetu mkikaa naye akihisi harufu mbaya tu atataka kuwapuliza pafyum hadi matakoni, kuna siku tuliamua kumzingua amekoma hadi leo manina zake.

hahahaha si bure ana jini huyo duh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom