Poleee kwa hilooo na hongera kujitunzaaaa ..... lkn m hoja yng n
1... mdada huyo hazimtoshi mana km antk ageuzwe afuanainsist .... c mwm ukizingatia na situation yako.... atakuharibiaaa.... wasichana n wng ..... run for u a lifeee
2..... umeshajua ana mtu na wamezaaa ..... bd unatafutako nin .... utakuja achwa solembaaaaa ...... mapenz ynauma aseee
3.... mpeleke hospital achunguzwe uckute ana mental illiness .......... maamuz memaaaa
Mkuu Kamwendo a.k.a Ashley ww ulimkera sana shetani ulipoweka nia ya kujitunza mpaka ndoa. Sasa ndo kakuletea mtego na ww umenasa kirahisi. Ushauri wangu achana na huyo demu mapema ama ujiandae na majuto hapo mbeleni. Huyo demu ni Devil's Advocate
Mmmghhh Wallah hii ni hadithi. Trust me
hahahhah!! umeona eenh!! huy jamaa komedi sn!!!!
dah kaazi kweli kweli sikuelewa kabisaAshraf ndo imekuwa Ashrough?
Wanasema mke wa mtu sumu . Mkuu ulikosea toka mwanzo wa mahusiano yenu yaelekea hukujipanga n kujua ni mwanamke wa aina gani anakufaa ktk maisha yako ukajikuta umeingia kichwa kichwa kwenye uhusiano huo.
Sasa unachotakiwa kufanya ni kuacha zinaaa ikiwezekana ikimbie . Endelea kuishi maisha ya uaminifu kulingana na imani yako. Kiumri bado mdogo sana kuna mengi yanakusubiri sasa jipange kuyakabili kwa msaada wa Mungu.