Wadoeaji muwe na heshima

Wadoeaji muwe na heshima

Bwana we si nikatokea kumpenda mkaka mmoja hapa ofisini, muda mrefu tu umepita, sema kila nikijipendekeza alikuwa haelewei somo, basi nikaamua kuacha na hizo mambo za kumuwinda winda kila mara, miaka miwili ikapita ghafla na yeye akaanza kujiweka karibu na mimi, kwa vile nampenda sana sikuweza kuresist basi nikarespond nikamchukulia kama rafiki wa karibu tu sio mpenzi.

Sasa katika mazoea haya ya urafiki mwenzangu sijui anahisi yupo na mke wake, kila siku anataka apate chakula cha jioni kwangu, basi nitajipikilisha wee jamaa anakuja anakula anasepa, huyu jamaa anapenda vyakula vya kuchemsha tu, visiungwe hata, na mimi napenda kukaanga ile mbaya,akaanza visa akikuta tumepika chakula asichopenda matusi yatamtoka huyo utafikiri alitoa hela halafu nikanunua vitu vingine.

Kujifanya kuimiliki nyumba utafikiri anajua hata kodi ya nyumba ni sh ngapi, akifika home basi itabidi muangalie vipindi anavyotaka yeye tu, maongezi yawe anayotaka yeye tu, feni izimwe.

Nimemwambia mara kadhaa kuwa yupo selfish sana anaona kama namtania vile nimfanyeje huyu mtu jamani?

Unaishi mkoa gani?
 
Yaan mie ninavyoithamin aman na furaha ya moyo wangu! Siku mbili nyingiii, !
 
hajapewa mbunye, ile anaanza kunizoea zoea nilikuwa na hamu sana, ila sikumtega hata kidogo, ndo kilichosidiana yeye haoneshi kama anataka mbunye, ,

sasa mda ulivyoenda na tabia zake mbofumbofu hata nimejikuta ananikera kupita maelezo

Sasa unaonaje ukinipa mm mbunye?

unampikia ashibe halaf shahawa wakamwagiwe wenzio acha uzembe ww
 
Mkipata. Wanaume wapole mnawapanda kichwani....bora vimeo hivyo vya kuwatia utumwani...

Umenena mkuu! ukiwa mpole utasikia mwanamke anakugombeza " na wewe changamka kama mwanamume" ukisimamia katiba ya ubaba utasikia " haya manyanyaso siyawezi" viumbe hatari sana.
 
hivi inashangaza sana hiyo, je chumbani inakuwaje au ni rafiki tu...?
 
Changamka wew urafki gani huo wakugeizwa mpsh wake.....aaaah na we unamoyo mbona mim siwez ivo
 
anakula tu, anaishi kwake sijawahi hata kufika,nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu, anaekuja nyumbani mnapika mnakula, mara ndo hivyo akaanza na matusi tukipika chakula asichopenda, kuna siku hakuja kazini basi mie wala sikumtafuta kwenye simu ghafla jioni huyo nyumbani anaanza kugomba kwa nini sikumpigia aje kula, lol nilibaki nimeshangaa tu, hivi anahisi mi ni nani kwake mpaka anigombeze eti sijampigia simu

Kama mbunye haombi yeye anachomaindi ni msosi tu, basi ujue mwayego ameshakugeuza mama ntilie!!
 
Mwanaume wa namna hii ni janga kwa Taifa,with his penis anakarisha ------ & satisfied kusubir chakula ambacho hajui hta kimenunuliwa bei gani na pozi juu,ama kweli kila mtu na malez yake.LEENI WANENU KTK MISNGI YA KUJUA MEMA NA MABAYA.Tel him asikujue 100%
 
Kama mbunye haombi yeye anachomaindi ni msosi tu, basi ujue mwayego ameshakugeuza mama ntilie!!

ukweli mchungu, huwa najiuliza mara kibao hiki ninachofanya ni nini hata sipati majibu, kuna siku alipiga simu anauliza kuna nini leo, nikamwambia hatupiki leo,aah si akaja tu mara nashangaa mtu huyo kakuta msosi jikoni acha aanze kunitukana tena eti mchoyo
 
anakula tu, anaishi kwake sijawahi hata kufika,nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu, anaekuja nyumbani mnapika mnakula, mara ndo hivyo akaanza na matusi tukipika chakula asichopenda, kuna siku hakuja kazini basi mie wala sikumtafuta kwenye simu ghafla jioni huyo nyumbani anaanza kugomba kwa nini sikumpigia aje kula, lol nilibaki nimeshangaa tu, hivi anahisi mi ni nani kwake mpaka anigombeze eti sijampigia simu

Usigombe jf. Mweleze mwenyewe live. Atakuelewa. Au mkuu unamuogopa?.
 
Mfungukie kiustaarabu tu bila aibu yoyote mwambie vile usivyopenda tabia yake,mwambie na mipaka yake.
 
Hayatuhusu. Haya ni mambo yako binafsi. Kama huna topiki ya maana soma michango ya wenzako.
 
Kwenye sheria kuna msemo wao,"coming to nuisance is not a nuisance"wakimaanisha kuzifuata kelele huwezi kulalamikia juu ya hizo kelele.
 
Back
Top Bottom