Recent content by nG'aMBu

  1. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

    Mtu anakuambia BMW ni mbovu cha ajabu hajawahi hata kumiliki tairi yake, daaah
  2. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Unawaomba radhi wageni kwa kuwakatia intaneti kwa siku 6 halafu wazalendo uliowaua hata majina yao unajifanya hauyajui!

    Daaah hata mm nilitaka kuuliza swali hilo hilo, natumai atajibu
  3. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara hawana udini

    Kabisa nimekulia magomeni kagera asilimia 99 ni Muslims lakini sijawahi baguliwa na ukristo wangu
  4. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya, watakaotoka tarehe 9 Disemba wengi wao watarudi ganda. Tafadhali mwana JF usishindane na serikali

    Serikali ni Nani? naomba kueleweshwa?
  5. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

    Golan unapajua? Kule ni ukanda wa gaza, wangefika wangekimbia
  6. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

    Wapi ameivimbia serikali?
  7. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

    Wabongo kwa unafiki hamjambo, akina Mange akisema mnadai oooh mbona kakimbia nchi, haya Polepole anayasemea yupo hapa hapa nchini, mmerudi tena ooh ajielewi angeondoka nchini, Watanganyika kuna kipande cha ubongo kiling'olewa wakati unazaliwa, Unafik tu
  8. nG'aMBu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabaunsa wapewa onyo kali

    Baunsa anaomba pesa kama mwanamke daaah
  9. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Hiyo desturi imeaanza lini? Mbona wezi wanaotangazwa na CAG hawachomwi moto, hauoni km ni unafiki?
  10. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kumhurumia Tundu Lisu, moyo unaniambia nisubiri kwanza

    Aliwateteaje Wazungu, embu nikumbushe aliyewaita wanaume wamekuja baada ya ishu ya makinikia?
  11. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kwanini mumchome moto, nchi ina liana hii aisee, ustaarabu gani huu
  12. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Wastara hana ndugu zake?

    Tabata alihama?
  13. nG'aMBu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers tunapambana na ku-risk maisha kwa ajili ya damu ya mtu asiyejali wala kuwaza majukumu yake

    Tatizo mnazaa na wavulana na siyo WANAUME!
  14. nG'aMBu

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

    Mpiga miti-Liwale
Back
Top Bottom