Recent content by Ngambili Ngenja

  1. N

    Kipanya: Msitumie akili nyingi kutafsiri katuni zangu

    Ukitambua kuwa hao si mbwa bali ni FISI hautasumbuka kupata ujumbe mzito alokusudia kuutoa msanii.
  2. N

    TIA: Nyoka mwenye vichwa viwili mwenye nguvu za ajabu

    Katika watu waongo duniani ni wenyeji wa mikoa ya Rukwa na Katavi, kaa nao mbali. Kamwe hawawezi thibitisha chochote katika hadithi zao nyingi kama hizi. Pia kuwa nao makini, 99.9% ni wachawi. Nawajua bro, nimehustle mikoa hiyo zaidi ya miaka 25.
  3. N

    Msaada safari ya kwenda Sumbawanga

    Mie mwenyeji huko Sema nikusaidie
  4. N

    Tundu Lissu uliyoyanena yanaendelea kutimia

    Utaelewa vipi wakati wewe na Albert Bashite ni watoto wa Baba mmoja na Mama mmoja, yaani toka ntoke.
  5. N

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Umechoka wewe. Sie wengine ndo tunaona kama ndo kwanzaa unaanza. Bashite Bashite....
  6. N

    Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Jibu hoja, acha povu. Tunataka kujua majina yake halisi si vinginevyo. Hayo yote unayosema hakuna asiye yajua lakini bahati mbaya hayahusiki katika uzi huu.
  7. N

    Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mnatusaliti, mnatuuza na kutupuuza

    Jamani hatuna viongozi kabisa. Wao wanalipana posho kutokana na jasho letu lakini hawako tayari kuwajibika. Tazama, haki zetu watumishi zimegeuka agenda za kisiasa, hatuheshimiwi na wametujengea taswira mbaya sana kwa jamii tunayoihudumia. Sasa kwa waadilifu inaonekana ni laana kuwa mtumishi wa...
  8. N

    Waziri wa Habari, fungia Al-Jazeera kwa uchochezi

    Kazi nzuri sana, hongera mtoa mada. Nasikitika sana GTs mmeniangusha sana, hata wale nnao wakubali leo ghafla mmekuwa wa kukurupuka kama kina fulani. Hivi ndugu zangu GTs mmepatwa na nini!?
  9. N

    Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    CCM inazidi kuburuzwa katika kata nyingi ngingi,pia baadhi ya kata ccm yashika lakini kwa upande wa chadema sehemu kubwa inaongoza
  10. N

    Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    mbona matokeo ya ccm yanawekwa kwanini chadema awaweki,katika kata mbalimbali tunaona
  11. N

    GE2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

    Kweli ninyi hamna maana kabisa! Yaani unadhani Wa-TZ ni wajinga kiasi hicho! Kwani wewe ni nani hata uwaamulie hatima ya maisha yao na watoto zao? Tafadhalini sana, heshimuni maamuzi ya sie Wapumbafu na Malofa, msijidanganye hata kidogo kuwa mambo yakiharibika mtasalimika. Tunajuana vyema, ni...
  12. N

    Kabla ya kuandamana ni vyema viongozi wetu wakasema walikubaliana nini na Mh Rais?Ni wakati muafaka

    Mkuu Rutta, Hongera sana, kazi ulotumwa na mmeo unaifanya kikamilifu lakini nasikitika kwamba pamoja na michango ya kina unayopatiwa na wachangiaji wenye nia njema na TZ yetu umekuwa mgumu kuelewa na kung'ang'ania ajenda ya huyo mmeo. Tambua kuwa ipo siku mtayalipa yote haya mnayowafanyia...
  13. N

    Kuhusu mahakama ya kadhi

    Ulianza kuchangia vyema mpaka nikahisi una kaupeo lakini hapo juu umenifanya niyaone dhahiri matokeo na madhara ya kukaririshwa, pole sana. Kwa taarifa, waislam wengi ndo walikuwa wateja wa Babu na wengi wao wakitokea hapa nyumbani, Kenya na Uganda.
  14. N

    Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Hii si kweli. Naongea nikiwa Electrical and Electronics Engineer.
  15. N

    Lukuvi ndani ya Kumekucha ITV

    Kamuulize Mama yako!
Back
Top Bottom