MARA nyingi kibinadamu ukiwa maarufu unajisahau kuwa unaweza kurudi na kuwa mtu wa kawaida. Hakuna garantii na Mungu kuwa utakuwa maarufu mpaka kufa. Ukikumbuka hili, utaanza kutayarisha maisha ya baadae na kuishi vizuri hata pale umaarufu utakapokwisha. Chukua kalamu anza kuulizia waliokuwa...
kwa taarifa tu prince richard aliyejiita hollywood executive ni mghana ambaye alikuwa meneja wa kanumba. Kwenye fb anijiita prince akiem, sijajua kwanini aidha alijiita hollywood executive au magazeti yaliamua kumuita hollywood executive
Katika nchi ambayo TRA na Forodha wanafanyakazi vizuri, mtu kama huyu anatakiwa aonyeshe Kodi ya mapato yaliyompatia faida ya fedha yote hiyo kiasi anaifanyia shopping ya starehe, pia wakatia akiingia nchini forodha wangemsubiri alipie ushuru wa forodha wa mizigo hiyo, halafu aendelee na maisha yake
Leah Muddy anendesha bendi inaitwa Q Band, Msechu kazi zake zinaonekana, na hata Baby Madaha keshafanya shughuli nyingi za kisanii. Ukiamua kufanya utafiti badala ya umbeya utakuta asilimia kubwa wako kwenye sanaa kwa namna moja au nyingine.
Jamani ITV huyo Zomboko ni muongo sana. Karibu kila kitu anachoongea kwenye hiki kipindi hawavumi lakini wamo anaongea uwongo mtupu. Wimbo Jamaica Farewell ni Tradional song ya Jamaica na Harry Belafonte alikulia huko, hii hadithi kuwa alimkuta mtu anamwimbia mpenzi wake akauomba ni UWONGO. Pia...
Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha kwamba hatimae muziki unakuja sikika kwa watu si kwa kuwa ndio the best uliorekodiwa bali kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.