Tujikumbuke Bendi zetu za muziki wa dansi enzi hizo.

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Wanajamvi hasa wale walioenda umri kidogo tukumbuke bendi zetu za musiki wa dansi. Kwa uchache dar kulikuwa na Bima Lee, Vijana Jazz na Arusha kulikuwa na Kurugenzi.
 
polis jazz na mitindo yao ya supa mnyanyuo pia butiama jazz na mtindo wao wa libeneke
 
watunjatanjata (Washirika Jazz), Mara Jazz (sensema), mwenge jazz...
 
vijana jazz..pambamoto
OSS..Dukuduku
maquis...ogelea piga mbizi
matimila ...talakaka
tancut almasi..fimbo lugoda
kimulimuli
washirika... munisandesa
bima lee
urafiki
uda..bayankata
magereza..mkote ngome
mk group..na mk beat
chuchu sound
bantu group
 
Morogoro, ilikuwepo Super Volcano ya Mbaraka Mwinshehe.
 
vijana jazz..pambamoto
oss..dukuduku
maquis...ogelea piga mbizi
matimila ...talakaka
tancut almasi..fimbo lugoda
kimulimuli
washirika... Munisandesa
bima lee
urafiki
uda..bayankata
magereza..mkote ngome
mk group..na mk beat
chuchu sound
bantu group
hapo mwana umenikuna!
 
Wanajamvi hasa wale walioenda umri kidogo tukumbuke bendi zetu za musiki wa dansi. Kwa uchache dar kulikuwa na Bima Lee, Vijana Jazz na Arusha kulikuwa na Kurugenzi.

Sio bure broda, utakuwa umeachwa na mpenzi pasaka hii sasa unajifariji na kumbukumbu za zamani. Maana jana ulianza na kumbukumbu za mabasi na leo umekuja na bendi, nadhani baada ya hapo ni timu za mpira za zamani halafu mtondo itakuwa hoteli maarufu za zamani, baada ya hapo utakuja na wachekeshaji maarufu wa zamani kisha watangazaji.
Nafurahi kuwa umeamua kuchagua njia yako ya kupunguza msongo, bora kuliko ile ya marehemu Kanumba ya kuanza na Jack Daniels afu kuanza kumvurumishia makonde mtoto mzuri, mteketeke, Lulu the hottie.
Keep the spirit up...
 
Jamani -- mnaisahau Cuban Marimba ya gwiji Salim Abdallah? Alifariki Nov 1965 lakini vibao vyake kama 'Ngoma iko huku'. 'Wanawake wa Tanzania', 'Naumia', 'Walimwengu', 'Nenda Mpenzi Mpenzi Nenda' n.k. bado ni classical hits.
 
Sio bure broda, utakuwa umeachwa na mpenzi pasaka hii sasa unajifariji na kumbukumbu za zamani. Maana jana ulianza na kumbukumbu za mabasi na leo umekuja na bendi, nadhani baada ya hapo ni timu za mpira za zamani halafu mtondo itakuwa hoteli maarufu za zamani, baada ya hapo utakuja na wachekeshaji maarufu wa zamani kisha watangazaji.
Nafurahi kuwa umeamua kuchagua njia yako ya kupunguza msongo, bora kuliko ile ya marehemu Kanumba ya kuanza na Jack Daniels afu kuanza kumvurumishia makonde mtoto mzuri, mteketeke, Lulu the hottie.
Keep the spirit up...
Dah mkuu ulijuaje hilo maana hapa ni upweke tuuuuuu
 
Morogoro kulikuwepo na Morogoro Jazz band, Cuban Marimba,Kilombelo Jazz, Sukari Jazz, Kiosa Jazz, Mahenge Jazz, Butiama Jazz, Kwiro Jazz................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom