Recent content by Ngadu01

  1. Ngadu01

    Majini: Viumbe vyenye roho hatari na wivu uliopitiliza

    Mkuu @mshanajr mimi ni mwanaume ila yamenifika nimezunguka kwa waganga naambiwa nna ruhani eti hataki mimi niwe na mwanamke mpaka mtaani naonekana wa ajabu wengine wananihisi mm ni ommy dimpoz naumia sana kwa kweli
  2. Ngadu01

    Harmonize: Nilipewa Mkataba wa kuonewa na WCB na nilisingiziwa kumroga Diamond Platnumz

    Nimekuoma mfuasi wa wizi wa nyota za watu
  3. Ngadu01

    Viatu vikali

    Elfu sitini?au ulimaanisha 6k
  4. Ngadu01

    Viatu vikali

    Naomba bei ya hii slipper kama ipo
  5. Ngadu01

    Viatu vikali

    We mluguru kwa milima ya kwenu hivi viatu havikufai
  6. Ngadu01

    Pata vyombo vya nyumbani kutoka Zanzibar

    Aisee hii nimeilewa sana unatia valuer ndani mgeni akikutembelea anajua unakunywa whisky za kibabe au hennessy
  7. Ngadu01

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Yeye anauza skin za uk,canada na uturuki usa anazo balo za nguo za watoto kama sijakosea
  8. Ngadu01

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Mi nachukua kwa dada mmoja yeye yupo arusha huwa anauza mtumba mzuri sana kwa dar sehemu nyingi ni magumashi japo wapo pia wanaouza mtumba mzuri inagemea na nguo unayoitaka
  9. Ngadu01

    Bei zetu mpya za mabelo ya mtumba

    ni pm namba yako
  10. Ngadu01

    Jinsi ya kutumia Ubani kwa faida mbali mbali

    mkuu je ni kweli nyota ya punda katika vitu wanavyotakiwa kuavoid kimojawapo ni pombe?
  11. Ngadu01

    Amapiano ilivyoniletea balaa

    Nawaone wivu sana mliopanga mi mwenzenu ni kama tid naelea miaka 30 lakini bado naishi kwa mama na dira siielewi mpaka sasa na vyuma hivi
  12. Ngadu01

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Tupo hapa life path number 8 ma CEO by nature
  13. Ngadu01

    Wakati wa taharuki makinika na kila taarifa

    Babu kastaafu kwa Sasa Ni mzee wa kanisa anakula pension yake nono badala ya kuweza kutembea vizuri na chaki yake kwa weledi aliyowapiku mpaka kina Dr Shika na wenzake
Back
Top Bottom