Mjadala: Hivi ni kila mwanaume anayetoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri ni Mario/kibe-10?

As for Kasie am allergic to numbers meaning to me age is a number and it matters.

Akinizidi kuanzia miezi 6 ruksa, umri sawa hapana.... raha ya kubishana na kujibizana kimahaba anizidi umri. Ikitokea akawa na mwili mkubwa au mdogo na akanidanganya umri ili anipate, nikija kujua..... atajuta kunifahamu.

Huo ndo ukweli na siri ya Kasie.

Kasie Mahaba.
Unanikataa kijanja sio
 
Tatizo tunafanya mambo kwa mazoea, nadhani kuna watu huko zamani walidhani umri unaamua utamu, udogo wa maumbile ya kike, na akili bila yakufanya tafiti. Kwa hali ilivyo sasa, haswa kwa wanawake wa mjini, unaweza ukakuta binti wa miaka 18 amekwisha tembea na tarafa nzima, yaani viungo vyake vya uzazi vimetumika sana kuliko makusudio ya Muumba. Hali kadhalika unaweza ukakuta dada wa makamo amejitunza bado yuko vizuuri kabisa, kimaumbile na utamu. Au ukakuta kijana wa mjini wa miaka 16 amepevuka kiakili kuliko mbaba wa zaidi ya miaka 40 wa mkoani. Mimi nafikiri tuache kukariri, kila jambo liamuliwe kadiri linavyotokea.
Una akili hawajui hata wajinga huzeeka
 
Kumbe hujali umri eeh? Basi asante kwa kunipa moyo wa kuendelea kukuganda. Ila seriously kutoka na mtu uliyemzidi umri jamani hata hainogi....kwanza aibu imagine mimi leo nimvulie chupi mtoto wa miaka 23 we Daby tafadhali bwana...raha ya mwanamke kudeka hivi unaanzaje mama mtu mzima unadeka kwa kitoto umekizidi miaka 6, 8 sijui 12 huko... ila naona ndo habari ya town siku wacha tu nibakie na ushamba wangu
Mi wa 27 vipi utasaula?
 
Kwangu mimi hakuna sababu ya msingi
Ila hainogi tu...aibu
Bado binti mdogo na wala hujakomaa kwenye mahusiano, kwenye matured relationship huwezi kuwekwa au itakuwa upo kwenye kipindi cha matazamio
 
Back
Top Bottom