Jamani. Naibu Katibu Mkuu wa nini? Wizara inakuwa na mawaziri wawili makatibu wakuu wawili. Kwa nini serikali hii inapenda kuwa na utitiri wa viongozi? Hawaoni gharama za uendeshaji zinakuwa kubwa! SERIKALI HII IMESHINDWA KABISA KUBANA MATUMIZI. Tayari hapo shangingi jipya na marupurupu kibao.
Hakuna bendera ya nchi ya kizungu ikawekwa rangi nyeupe kutanabaisha kuwa inawakilisha uzungu. Mara nyingi utasikia black is beauty lakini huwezi sikia white is beauty.
Cameroun koloni la Wafaransa. Inawezekana wamepata msaada wa kijeshi toka Ufaransa. Maana Ufaransa wanakuwa na military bases kwenye mengi ya makoloni yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.