THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,860
- 15,219
Hata mtoto mdogo anajua hao 143 wa Boko Harum watakuwa sasa wamepata thawabu na kwa kweli wameifia ISLAM; Ngoja watangulie maana wamefanya mabaya mengi kwa wanageria. Hakuna mkristo yoyote anayemtetea Joseph Konny kwa anayoyatenda. Lakini Joseph konny si kama waliyo Al k'ida na Al shabaab; Basi walisalia waende huko huko Cameroon maana ndiko wanaweza kuingia peponi kwa uhakika zaidi.
wewe amini basi unachokiona kinafaa kwako kukiamini
believe whatever you wish to believe
joseph kony sio sawa sawa na hao alshabaab si ni kwa sababu huyo ni wa upande wa pili??
umeshaona ni lini vyombo vya habari kama bbc,na cnn na vinginenyo vikienda UGANDA kuangza kwa kias kikubwa kuhusu uchafu wanaoufanya kama wanavyoumulika huko kwingine
either hakuna muislam anaeifajam dini yake akawtetea boko haram na alshabaab
uislam upo tokea karne na karne haya tulikuwa hatuyaskii
leo yametokea wapi
lakin sisi tunaona safi tuh,jins wanavyojaribu kuuchafua ndivyo wanavyozid kuutangaza na uislam na ndivyo unavyozid kukua zaid na zaid
hivi sasa ni miongoni mwa dini ya kwanza inayoongoza kwa kasi ya kupokea CONVERTS WEENGI
HUKO ULAYA KILA SIKU WATU WANAINGIA KWENYE UISLAM