Recent content by Nga jone

  1. N

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Umesema ukweli Bujibuji
  2. N

    Ushauri wenu kwangu nifanyeje juu ya huyu dada.

    Sasa uelewi nini ndo kashaolewa huyo na wewe fanya yako samehe tu iyo cm mademu wa cku hizi tamaa mbele
  3. N

    Nazama, naombeni ushauri wadau

    Achen kusumbua watu na huo uzi fake
  4. N

    Rais wangu Kikwete, Kagame anajua kila unachofanya na kupanga

    Safi WISEBOY kwa uzi huu umetahadharisha nchi lakini wengine wamemuelewa kama yeye mleta uzi ni muoga me nmekosoma mkuu
  5. N

    hii fasheni ya nguo (suruali) inaitwaje?

    Naona kuna baadhi ya wadada ingeruhusiwa kutembea uchi baadhi yao wangembea uchi
  6. N

    Inasikitisha kidogo... mama wa kambo amkata sehemu za siri mtoto wa mume wake..

    Huyu mama na yeye akatwe Ku***** yote pia na yeye asifaidi raha za baade au anyongwe kabisa
  7. N

    Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

    Kuna watu wanapost ili mradi na yeye aonekane amepost eti arudishe mke wa mtu ndo afikiriwe nafikiri wewe ujitambui kwani uyo lowassa yeye ndio msafi mbona usemi maovu yake ya Richmond shut u****
  8. N

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Jiulize kwanini Dr Slaa anajuaje habari za ikulu kama wewe umkubali Slaa hata me simkubali kikwete
  9. N

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Huu mfumo wao wa kulindana wezi lazima tuutokomeze kwa cc vijana kuupinga kwa nguvu zote
  10. N

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Safi sana hii mikakati ifanyike ili kuinusuru taifa tuko pamoja UKAWA.
  11. N

    Ushauri Tafadhali

    Sasa hapo mjinga nani kama si wewe huyo demu anakuja atachukua zawad afu atasepa bila wewe kupata chochote afu uje hapa tena utuletee uzi oo demu kachukua vitu vyangu na mzigo ajanipa pumba****
  12. N

    Furaha ya mwanaume imerejea

    Richmond hauna maana hapo ndo ugonjwa ulipoanzia
  13. N

    Binti wa miaka 22, nimemkuta na bikra

    Waulize marafiki zake wakwambie tabia yake coz zipo za kichina
  14. N

    Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Mkali wao, Jina lako tu dawa sasa inakuaje unaomba msaada me bado cjakuelewa mkali wao wa nini
Back
Top Bottom