Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Jamani kunguni wamevamia kitanda changu leo siku ya tatu.... yaani usiku wa jana sijalala kabisa wamenishambulia vibaya mno... hapa mwili wote umevimba,unawasha na unauma..
mwenye dawa ya kuua kunguni na wasirudi tena anitajie maana nshatumia dawa kibao bila mafanikio...
msaada wenu wakuu maana daaaah hawa wadudu watanitoa roho mwaka huu... wananitesa sana,nashindwa kufurahia maisha hasa inapofika usiku.

Kunguni ni wadudu wanaoishi kwenye uchafu, inaonekana kitanda chako ni kichafu sana na kina vumbi la kutosha tu, toa kila kitu nje, safisha chumba chako kila siku

fua mashuka kila mara na hakikisha kuna mwanga wa kutosha chumbani kwako
 
Kanunue dawa ya kujipaka inaitwa scaboma lotion ila haipakwai usoni ni kuanzia usoni kushuka chini masharti yake ukishaoga unsjifuta ndipo sa unaipaka nawa mikono na ukishapaka huogi mpaka kesho yake jioni ndio unaoga unapaka tena mpa ka kesho yake usiku waoga fanya hivyo kwa mara tatu utaona matokeo huku nguo kitanda ukifua kwa maji moto godoro lianike juu ya b ati chumba chote mwaga maji moyo lazima wafe woote
 
Hahahaahaaa! acha uchafu alafu uwe unaoga.

kitanda ni kisafi,mi mwenyewe kwa usafi nip vzuri na chumba chote ni kisafi kwa ujumla.. ila kuna mtu aliniomba nimuhifadhie godoro lake chumbani kwangu kwani ye alikua anasafiri,godoro hilo ndo likaleta hao kunguni.. mpaka sasa wamehamia kitandani kwangu
 
Kunguni ni wadudu wanaoishi kwenye uchafu, inaonekana kitanda chako ni kichafu sana na kina vumbi la kutosha tu, toa kila kitu nje, safisha chumba chako kila siku

fua mashuka kila mara na hakikisha kuna mwanga wa kutosha chumbani kwako
kitanda ni kisafi,mi mwenyewe kwa usafi nip vzuri na chumba chote ni kisafi kwa ujumla.. ila kuna mtu aliniomba nimuhifadhie godoro lake chumbani kwangu kwani ye alikua anasafiri,godoro hilo ndo likaleta hao kunguni.. mpaka sasa wamehamia kitandani kwangu.

yaan hayo yote nimefanya ila huwa wanapungua kwa siku chache then baadae wanarudi,tena kwa speed mpyaaaaaa
 
Tokalini Kunguni wakauwa mtu! hebu waache wapate mlo wao wa siku wewe mwenyewe ndio umewakaribisha.
 
Kanunue dawa ya kujipaka inaitwa scaboma lotion ila haipakwai usoni ni kuanzia usoni kushuka chini masharti yake ukishaoga unsjifuta ndipo sa unaipaka nawa mikono na ukishapaka huogi mpaka kesho yake jioni ndio unaoga unapaka tena mpa ka kesho yake usiku waoga fanya hivyo kwa mara tatu utaona matokeo huku nguo kitanda ukifua kwa maji moto godoro lianike juu ya b ati chumba chote mwaga maji moyo lazima wafe woote

daaah ngoja nikaitafute hiyo lotion fasta maana hali ni mbaya... asante mkuu kwa ushauri wako
 
kitanda ni kisafi,mi mwenyewe kwa usafi nip vzuri na chumba chote ni kisafi kwa ujumla.. ila kuna mtu aliniomba nimuhifadhie godoro lake chumbani kwangu kwani ye alikua anasafiri,godoro hilo ndo likaleta hao kunguni.. mpaka sasa wamehamia kitandani kwangu
Duh!mrudishie, weka store ikishindikana kalichome.
 
Jamani kunguni wamevamia kitanda changu leo siku ya tatu.... yaani usiku wa jana sijalala kabisa wamenishambulia vibaya mno... hapa mwili wote umevimba,unawasha na unauma..
mwenye dawa ya kuua kunguni na wasirudi tena anitajie maana nshatumia dawa kibao bila mafanikio...
msaada wenu wakuu maana daaaah hawa wadudu watanitoa roho mwaka huu... wananitesa sana,nashindwa kufurahia maisha hasa inapofika usiku.

Kama kweli huwezi kupambana na kunguni, kimdudu kidogo hivyo! Basi hali yako ni mbaya sana!!!, tembelea duka la dawa za kilimo watakushauri dawa ya kukusaidia.
 
kitanda ni kisafi,mi mwenyewe kwa usafi nip vzuri na chumba chote ni kisafi kwa ujumla.. ila kuna mtu aliniomba nimuhifadhie godoro lake chumbani kwangu kwani ye alikua anasafiri,godoro hilo ndo likaleta hao kunguni.. mpaka sasa wamehamia kitandani kwangu.

yaan hayo yote nimefanya ila huwa wanapungua kwa siku chache then baadae wanarudi,tena kwa speed mpyaaaaaa

Believe me hao wadudu ni wa uchafu tu, kama hilogodoro ndio lilikuletea hao wadudu litoe humo ndani kwako, kunguta vumbi kila siku hutaona kunguni kamwe
 
Tunafanana mkuu Mimi nimelala gesti moja hapo kiwalani yaani wanatisha. Kuhusu DAWA usihangaike tumia Josho hizo nyingine zinaua mbu na mende lakini si kunguni.
 
Toa KItanda nje na ukisafishe kwa maji ya moto, kikishakauka hakikisha kila kona ya kitanda ambapo kuna uwezekano wa kunguni kujificha mwagia mafuta ya taa, au anza kuwatafuta mmoja mmoja kona hadi kona na kuwamwagia mafuta ya taa, kama ni mchumi sana unaweza kutumia pamba ili yasiende mafuta mengi. Ukishamaliza hilo zoezi kagua kwenye godoro kama wapo pakaa mafuta ya taa, chumbani ukutani safisha na maji ya moto au na sabuni ya unga kisha sehemu ambazo wanaweza kujificha ukutani pakaa mafuta ya taa.

Baada ya hilo zoezi usipokuwa na ukakika kama wameisha rudia kesho yake, nakuhakikishia utalipiza usingizi wako uliopotea.
 
Kunguni ni wadudu wanaoishi kwenye uchafu, inaonekana kitanda chako ni kichafu sana na kina vumbi la kutosha tu, toa kila kitu nje, safisha chumba chako kila siku

fua mashuka kila mara na hakikisha kuna mwanga wa kutosha chumbani kwako

Wewe hujui kitu, huenda umechanganya kunguni na viroboto au chawa.
 
Back
Top Bottom