Ushauri wenu kwangu nifanyeje juu ya huyu dada.

Ushauri wenu kwangu nifanyeje juu ya huyu dada.

Sasa uelewi nini ndo kashaolewa huyo na wewe fanya yako samehe tu iyo cm mademu wa cku hizi tamaa mbele
 
Vipi wadau? Naomba ushauri wenu. Nilianzisha uhusiano na dada mmoja ambaye nilipomtongoza alinijibu kuwa hana mpenzi wala rafiki wa kiume. Basi tukahidiana kuwa tusifanye mapenzi mpaka tuoane kwasababu tuanze kujipanga kwanza na tumuogope MUNGU. Dada huyo nilimsaidia kwa mapana na marefu hata alikuwa hana simu nikamnunulia ilimradi tusalimiane. Nilimpeleka hadi kwa wazazi wangu iliwajue kuwa niko na mchumba ni yeye. Ilifika takrban miazi kumi na moja hivi. Hivi juzi kila nikimpigia simu naambiwa mteja hapatikani kwa sasa! Basi nilimjaribu kumpigia lakini simpati kwa simu. Mara nikapigiwa simu na jamaa akaniambia hii namba nimepewa na CLARIS. Halafu jina hilo ni la huyo mchumba wangu, lakini sikutilia maanani sana kwa sababu wenye majina kama hayo ni wengi sana. Lakini nikimpigia simu huyo demu wangu si mpati. Ndo nilipomvutia waya huyo jamaa nikamwambia hebu mpe simu huyo CLARIS ni mjue ni yupi. Alipompa hiyo simu, nikasikia hiyo sauti ni ya huyo mchumba wangu! Akaniambia mimi tayari nimeshakwisha kuolewa tayari! Hapo nikaanza kughafilika juu yake nikawa simuelewi. SASA NAOMBA USHAURI WENU NIFANYEJE JUU YAKE.

hapo huna chako
subiria mtoto azaliwe uitwe anko
 
hahaha mshika mapembe wewe, umenunua hadi simu mwana duh!!! kweli wajinga waliwao
 
Ha ha!pole sana!!Naona ulikuwa unafanya kazi ya Bwana ya kuhudumia viumbe wake!!
 
Ha ha!pole sana!!Naona ulikuwa unafanya kazi ya Bwana ya kuhudumia viumbe wake!!

hahahaa dada umenichekesha. kwakweli huwa sielewi mwanaume anaekubali mapenzi ya kihindi kwa karne hii: eti ''ooh tukae bila kudinyana mpaka ndoa''. kwa karne hii? thubutuuu. Utagongewa tu na mwisho wa picha demu anahamia kwenye mgegedo.

Yani kweli dume rijali kabisa unakaa MWAKA mzima ukiambulia love story tu na kupiga puchu, afu unahudumia na kumgharamia huyo mwanamke??!! nyambaffffuuuu kabisa huyo jamaa. Mapenzi hayo ya ki-old school hayapo tena siku hizi. Kajifanya mlokole (eti mwanaume mwema) hataki papuchi mpaka ndoa, afu mwenzake huko anaigawa sana tu!

Demu sio bikra, alafu eti akwambie kumgegeda ni mpaka ndoa??!! bull.sh.it! :confused2:
 
Back
Top Bottom