Recent content by Neyjerry

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Accountant
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Sio kosa lako.... kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Nashukuru kwa kunielewa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

    Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau yeyote amepigiwa simu pia?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hivi uhakiki bado tu au ilikuwa gia tu ya kutunyima ajira?

    Una maanisha nini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu ajira kada ya mahakama

    Jamani na yeyote mwenye taarifa za kuitwa kazini TANROAD - KAGERA atujuze.
  7. N

    JamiiForums Tanzania HADITHI: Mtoto wa Pastor

    Story nzuri. Iendelee
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi utumishi mahakama

    Natamani niweke tangazo lote, ila nashindwa siwezi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi utumishi mahakama

    Hakimu mkazi Daraja la II, Afisa Utumishi Daraja la II, Afisa Tawala Daraja la II, Afisa Ugavi Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu za Ndani Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Katibu Mahsusi, Msaidizi wa Kumbukumbu, Msaidizi wa Maktaba, Mpokezi, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi utumishi mahakama

    leo pia wametangaza nyingine 58 kwenye gazeti la DailyNews
  11. N

    JamiiForums Tanzania DART majibu vipi?

    Tembelea website yao. Yameshawekwa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mji tulivu ulionipa gonjwa la milele

    Duuuh.. iendelee jamani
  13. N

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Mji tulivu ulionipa gonjwa la milele

    ni nzuri Mzaramo. Napenda hadithi unazozileta humu maana zote huwa zinafika mwisho... ila vipi kuhusu ile Asia digital mkuu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Lidake tena chozi langu

    Nyingine Mzaramo please
  15. N

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga

    Nahitaji chumba cha kupanga (single au master), kiwe maeneo ya Keko, Karume au Ilala Boma. Mwenye kuwafahamu madalali wa maeneo hayo tafadhali tuwasiliane.
Back
Top Bottom