leo pia wametangaza nyingine 58 kwenye gazeti la DailyNewsleo hii watu ndoo wanaripoti tena zitoke leo
leo pia wametangaza nyingine 58 kwenye gazeti la DailyNews
Hakimu mkazi Daraja la II, Afisa Utumishi Daraja la II, Afisa Tawala Daraja la II, Afisa Ugavi Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu za Ndani Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Katibu Mahsusi, Msaidizi wa Kumbukumbu, Msaidizi wa Maktaba, Mpokezi, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzinafasi gani walizotangaza tujuzeni
Natamani niweke tangazo lote, ila nashindwa siwezinafasi gani walizotangaza tujuzeni
Haya bana
ndio unapitisha kwanza kwa katibu tawala ndio unapeleka posta....Wakuu naomba msaada kuna ndugu yangu kaniuliza kitu nikashindwa...hivi application ya hizi kazi inakuwaje yaani inatakiwa kupeleka kwanza kwa katibu tawala wa wilaya kuthibitisha kisha ndo yanapelekwa posta au inakuwa vipi?
Shukrani sana kwa msaada wako.....you are such.......... (insert your ID name) 097ndio unapitisha kwanza kwa katibu tawala ndio unapeleka posta....
Mkuu kwa hiyo unapeleka barua ikiwa imeshafungwa au unatakiwa usiifunge kwanza ili akapitie yaliyomo huyo Afisa tawalaShukrani sana kwa msaada wako.....you are such.......... (insert your ID name) 097
Kwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa isifungwe ili akathibitishe yaliyomo na labda anaweza kupiga muhuriMkuu kwa hiyo unapeleka barua ikiwa imeshafungwa au unatakiwa usiifunge kwanza ili akapitie yaliyomo huyo Afisa tawala
Hapo hata mm nlikuwa njia panda kwa kweli ngoja nfanye ivoKwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa isifungwe ili akathibitishe yaliyomo na labda anaweza kupiga muhuri
Okay, sawa sawaKwa jinsi nilivyoelewa ni kuwa isifungwe ili akathibitishe yaliyomo na labda anaweza kupiga muhuri
mpaka athibitishe kwanza (aigonge mhuri barua ya kazi)ndio unafunga na kupeleka kutuma posta ...kila la kheri wakuu!Mkuu kwa hiyo unapeleka barua ikiwa imeshafungwa au unatakiwa usiifunge kwanza ili akapitie yaliyomo huyo Afisa tawala