Dr Mwakyembe amethubutu lakini mambo bado pale Long room ni uozo tu. Sijui kama pataimprove kitu maana Mgawe et al ana watu wake pale. But the guy (Dr) has made an attempt ambayo JK mwenyewe ameshindwa. Inaweza kuwa mbinu ya kutafuta kukusanya pesa kwa ajili ya 2015 nani anajua???
January looks dynamic lakini kwa kuwa antoka kwa chama kisichoaminika kinachokula rushwa hata mchana basi ni vigumu kumwani kijana huyu pia.La msingi Watanzania wameamka sana.
Anajua kuwa kinachotakiwa ni Rwanda iende Mbele na inakwenda mbele kwani inflation ni less than 10 % na Tanzania ni over 15%, elimu yao iko juu kuliko yetu computer mpka primary wakati TZ hata ukienda University kutumia computer ni taabu, barabara zao huambiwi kuwa ni za kisasa unaona tu. Sasa...
Tujisikitikie kwa kuwa na viongozi vipofu. Hii ni hatari kwetu nafuu kunywea maana hatuangalii ya MCC tu lakini yako mengi ambayo US wakifreeze sote "tutakunya"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.