Makada wa CCM waongoza kwa wizi na Uhujumu wa Umeme Tanesco!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makada wa CCM waongoza kwa wizi na Uhujumu wa Umeme Tanesco!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngaliba Dume, Aug 15, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Siku chache baada ya Waziri wa Nishati "kumlipua" mmiliki wa St.Mary's Sec. School ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu(CCM) Mch.Rwakatare kuwa ni mwizi sugu wa umeme na uhujumu wa miundo mbinu ya Tanesco kama "Mita" za Luku n.k,hali hiyo imejitokeza tena kwa kada mwingine CCM.

  Jana ktk kuongea na vyombo vya Habari,Maafisa wa Tanesco wamemtaja Ndugu Julian Bujugo mmiliki wa Shule za Green Acres kuwa ni miongoni mwa wezi sugu wa umeme na uhujumu wa miundombinu ya Tanesco...na kuwa ndugu Bujugo ameeibia Tanesco umeme kwa kujiunganishia umeme toka mwaka 2005 na hivyo kudaiwa mabilioni ya fedha ktk shule ya Green Acres-Salasala(DSM)

  Itakumbukwa kuwa Mh.JULIAN BUJUGO ni diwani wa kata ya Magomeni na anahusika na uuzaji wa eneo la wazi (Open Space) la Magomeni lililo pembeni ya Magomeni kanisani..mpaka sasa ukipita pale Bustan ya Magomeni kuna Bar ya Wazi imefunguliwa ndani ya hiyo Open Space. Ukifuatilia utajua,Viongozi au makada wengi wa CCM wanaomiliki baadhi ya taasisi mbali mbali,wanatumia vyeo vyao na nafasi zao kuiba umeme,na wanatumia network yao kuwatisha watumishi wa TANESCO.
   
 2. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ngalibadume ccm ni mafisi kila kitu wao ni safishasafisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Anaitwa Julian Bujugo,Diwani wa Kata ya Magomeni.
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata Bujigu sawa tu! Maana ya neno Bujigu kwa lugha yetu ni mwizi wa umeme.
   
 5. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha u made my second to lough...aligombea Unaibu kama si Umeya wa Kinondoni 2010 hakupata
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Mi nasubiri waje kwanza masalia ya ccm hapa jf wakina ritz ,rejeo then nitarudi
   
 7. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Kuna tetesi ameanza harakati za kugombea ubunge jimbo la Bukoba Vijijini kupitia magamba!
   
 8. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Walishaambiwa wakitaka biashara zao zisibuguziwe wapeperushe bendera ya Kijani!
   
 9. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,739
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ndio maana baada ya uchaguzi 2015, kazi ya kwanza ni kusafisha nyumba kwa kuangamiza wadudu wote waharibifu kama mende, panya, mbu nk i.e. CCM .

  Farijala Hussein (fisadi wa EPA) na huyu Bujugo ni mifano midogo na rahisi yenye kuwakilisha taswira pana na sahihi ya CCM.
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Sumaye hatutamsamehe kwa hili.
   
 11. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwao yule ni mahenge.
   
 12. N

  Newvision JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ole wao after 2015 sipati picha kama utalawala ukibadilika
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  wazoefu hao.
   
 14. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wacha hizo bwana...huyu jamaa ni "ashomire" kutoka Bukoba!
   
 15. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa ni kati ya Wafadhili wakuu wa CCM. Uchaguzi wa 2010 aliwabeba sana CCM na kwa kauli yake mwenyewe anasema ametumia zaidiya 450m. Madiwani wengi amewawekakwa fedha zake maana alikuwa agombee umeyawa Dar kabla ya kutoswa. Nape angeanza na watu kama hao ambao wanafadhili CCM kwa fedha chafu!
   
 16. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,682
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kama humjui ni bora ukae kimya au labda kama kakutuma uandike huo uongo!
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  Tutasikia mengi kuhusu ccm na mafisadi wake mpaka masikio yetu yapasuke
   
 18. D

  Deofm JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asubuhi leo wakati radio clouds wanasoma magazeti, pamoja na hiyo shule kuna vituo kadhaa vya mafuta vilivyobobea kwa wizi huo wa umeme, lakini gazeti liliogopa kuvitaja kwa majina, nadhani mmiliki wake kama sio mtoto basi ni Mshua ndio maana wakabana majina yake.
   
 19. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  CCM sio tu wezi kwenye umeme bali kila nyanja wanafanya hivyo, kwenye maji, maliasili, nk.
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Chama cha mafisadi hicho.
   
Loading...