mstahiki meya wa jiji la dsm dr masabuli aibua kashfa nzito kuhusu masuala ya mikataba ya kifisadi,,anasema anataka kuona nani wa kuwajibishwa kati yake na wengine,kazungumzia mikataba ya machinga complex,ddc kariakoo na keko na mengine,source clouds radio