Is it man!!!David Jairo kaamua kuachia ngazi
Waziri na naibu wake nao wanatakiwa kujiuzulu kama bado
huyo atakua kaambiwa tu kwamba mzee sepa kimyakimya kimenuka magogoniKaachia au kafukuzwa, hukumsikia Pinda jana?
Kaachia au kafukuzwa, hukumsikia Pinda jana?
michuzi keshaiondoa hiyo link,haipo tena,sasa sijui ni kweli au vp!MICHUZI: JUST IN: KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI NA MADINI david jairo Ajiuzurukama RA na yeye kasema Aksanteni na Kwaherini!
michuzi: Just in: Katibu mkuu wizara ya nishati na madini david jairo ajiuzuru
kama ra na yeye kasema aksanteni na kwaherini!