Kampeni ya Sitta for Presidency 2015 yazinduliwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni ya Sitta for Presidency 2015 yazinduliwa.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpanzi, Jul 17, 2011.

 1. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kilichofanyika Mbeya ni kuzindua kampeni ya kundi la Sitta kwa ajili ya Urais! Shuhudia Minyukano itakayofuata! Kama kuna mtu anadhani CCM imetulia asubiri, its not over yet.
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  gamba jipya linaota duh tz tunaangamia wajameni. tz ni shamba la bibi
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana nawe kabisa .Sitta alikuwa ana ameanza kupima upepo lakini majibu anayo kabisa .Haamini na kesha jimaliza kwa comments zake last week bungeni .
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i agree ujasiri ule na hili giza sijui wanautoa wapi
   
 5. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  6 akiwa rais nahama nchi
   
 6. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ila najiuliza kama uamuzi wa kuzindulia Mbeya ulipata baraka za king pin wa siasa za Mbeya Prof Mwandosya, endorsement ya Mwakyembe haitoshi!
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Not that easy to predicate what will real happen ...

  But believe me .. There is great possibility, SItta can go very far !!
   
 8. k

  kakolo Senior Member

  #8
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  weit an shii
   
 9. N

  NEWIKA Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sizani kama 6 anaweza kuwa raisi mzuri,naona amejaa na jazba za kuukosa uwaziri kwenye kipindi cha kwanza na uspika ktk kipindi hiki na ndo maana akadiriki kutaka kuhamia ccj,,tanzania sasa ni kama shamba la bibi.
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mimi nadhani wanamtayarishia mwandosya, sijui lkn
   
 11. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mh! Sidhani, six anavyopenda madaraka, hawezi kubali, ila tujiandae kwa minyukano!
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  "... wembe ni ule ule kunyoa
  jambo ni lilelie ushindi x2"

  tuimbe wote..
   
 13. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sitta ameishasahau alivyotendwa kwenye uspika?
   
 14. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Prof. Mwandosy hatihati, afya yake mgogoro kidogo. Wachambuzi wa mambo wanaeleza kuwa iliyokuwa kambi ya Mwandosya imeungana nguvu na wale wanojiita 'makamanda wa ufisadi' kumpigia debe 6.
  Kwa jinsi ccm walivyojeruhiana kwenye kuvua magamba, 6 anaweza kufika mbali, lakini kati ya sasa na 2014 lolote linaweza kubadili mizani ya kisiasa. Mara zote washindi hutakiwa kubaki 'low profile' hadi wakati muafaka, hii ya 2011 ni mapema mno.
   
 15. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  kwasababu gani utahama mkuu? Na unamaanisha 2liokuwa nje tusirudi?
   
 16. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Mimi pia nadhani 6 anajiandaa kugombea uraisi 2015,simuoni akikubali kumuandaa mwingne kwa kuwa yeye anajiona kazaliwa kuwa on top...tusikilizie kambi ya maembe!
   
 17. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  yaani bongo yetu hii kila mtu anawaza kuwa rais.wish to suit their need,urais ungekuwa wa miaka miwilimiwili ili ndoto zao zitimizwe!
   
 18. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Membe ni simba mwendapole, trust me, he will be the man to beat in the coming election.
   
 19. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  6 usalama wa taifa hawezi kuwa raisi hii minyukano ni kupima upepo wa chadema semeni yote but lowasa bado ananafasi kubwa sana ya kuwa rais msinihukumu kwa kauli yangu
   
 20. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  sitta ana uchu wa urais zaidi ya alivyokua john malecela! JK kishasema rais ajaye awe kijana kama zitto
   
Loading...