Recent content by NewDawnTz

  1. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Tatizo la Preta mgumu kutoa ushuhuda baada ya kutendewa......sijui hajasoma communication skills kujua nguvu ya feedback? ananiharibia sana mwenzake kwa kuwa ushuhuda wake utanivutia na waumini wapya wa huduma yangu ya maombi kama wewe.... We Preta hobu toa ushuhuda basi mamie ili watu...
  2. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Ahsante kwa taarifa za kujitosheleza.....haya maubusara na mahekima yalipoteaga atiii Pia samahani kwa kujua tayari maana last post yako ilikuwa imesheheni nikajua tayari pilau limeliwa Anyway, mimi pamoja na familia yangu tunakuombea Mungu akukumbuke katika majukumu yako na pia katika...
  3. NewDawnTz

    wapendwa, angalieni dunia yetu ilipo sasa!!!

    The Return of MJ.... Karibu sana maana ulipotea watu tukashikwa na mashaka labda shem kachukua P/W akabadilisha ukashindwa ku-log in lol..... https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/188377-lol-kumbe-mkishaolewaga-ndo-mnakuwaga-hivyo.html
  4. NewDawnTz

    CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

    Peaceful Love There is peace in my soul For such a long awaited time There is love in my life A love of melody and rhyme. Once you took hold of my heart I knew no other could have reached As whispered fate took my hand To levels only you could reach. You in my life Will live...
  5. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Wewe umekuwaje tena, heeeeeeeee!!!! yaani nguvu za kurestisha in peace faster? No ili sisi waombaji wa kimataifa hatufanyi hivi bana.... Nakuombea kesho tu asubuhi kabla hujatoka home good kwako umkute kapiga magoti akikuomba msamaha na kukulipa....halafu ulete ushuhuda ili imani ya watu...
  6. NewDawnTz

    Kaimu RPC Arusha akanusha tuhuma

    Huo muda wa kufuatilia wanao? Hiyo shughuli ndogo ambayo haiwezi kufanywa na watu legelege
  7. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Karibu sana....hii inaitwa "Shock absorber" cha muhimu usilete ule msuli wa Jukwaa la Siasa huku maana tutakutoaga nduki, Luck umepata mapokezi kutoka kwa mwenyeji, Preta
  8. NewDawnTz

    Kaimu RPC Arusha akanusha tuhuma

    Ninakila haki ya kumuita mpuuzi (kama taarifa zako ni za kweli) kwa kusema ni uzushi wakati akisema hana taarifa......sasa kama hana taarifa anajuaje kama ni uzushi? jamani akili ni mali sana... BTW Kutokujua ni kawaida yenu wote, Rais wenu akiwaongoza
  9. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Preta leo usiku nimeota nitakuwa nabii, mtume na muombaji wa kimataifa.....hebu nitumie hilo lako la moyoni nianze kushuka ombi la kufufua mtu
  10. NewDawnTz

    CHADEMA wapunguze migogoro na serikali

    Ni wazo zuri ila kulisisitizia kinyume chake pia ni muhimu sana......SERIKALI NA CCM YENU ACHENI KUICHOKONOA CHADEMA....... Ni kweli tunawanyima usingizi lakini mtakuwa mnafanya la maana kama mtaegemeza nguvu zenu kusimamia shilingi kukua na kuhakikisha wananchi wenu wanamudu maisha na...
  11. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    I wonder.........hizi honey moon nyingine bana........
  12. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Kuna wakati nilisikia kama anaenda Somalia, hebu tujue maana ukute ndo Al-shabaab tena Jamani nyie serious huyu mdada nammiss sana maushauri yake Sisahau ligi yake na PJ kwenye suala la babu wa Loliondo......
  13. NewDawnTz

    Light drinking linked to slight breast cancer risk

    Kwa hiyo wanataka either usinywe au ulale bar?....... mmhh, hii nayo kali
  14. NewDawnTz

    lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

    Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo...
  15. NewDawnTz

    Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

    Hili bomu si kalipandikiza mwenyewe huku........yatamtokea kusikotokea Hivi kwanza yupo kweli? nimemmiss
Back
Top Bottom