lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

Kuna wakati nilisikia kama anaenda Somalia, hebu tujue maana ukute ndo Al-shabaab tena

Jamani nyie serious huyu mdada nammiss sana maushauri yake

Sisahau ligi yake na PJ kwenye suala la babu wa Loliondo......

basi mniombee....nina langu la moyoni......

Preta leo usiku nimeota nitakuwa nabii, mtume na muombaji wa kimataifa.....hebu nitumie hilo lako la moyoni nianze kushuka ombi la kufufua mtu
 
Kumbe warembo wako huku, ndo maana siwaoni Jukwaa la Siasa? Na baadhi ya wachangiaji wamehamia huku! Nami nitakuwa natembelea hata mara moja kila siku
 
Kumbe warembo wako huku, ndo maana siwaoni Jukwaa la Siasa? Na baadhi ya wachangiaji wamehamia huku! Nami nitakuwa natembelea hata mara moja kila siku

Karibu sana....hii inaitwa "Shock absorber" cha muhimu usilete ule msuli wa Jukwaa la Siasa huku maana tutakutoaga nduki,

Luck umepata mapokezi kutoka kwa mwenyeji, Preta
 
Preta leo usiku nimeota nitakuwa nabii, mtume na muombaji wa kimataifa.....hebu nitumie hilo lako la moyoni nianze kushuka ombi la kufufua mtu

orait....ombi ni hivi.....kuna mtu namdai sasa ananizengua kulipa....naomba uniombee nipate nguvu ili nisichukue muda mrefu kumrestisha in peace....majibu yasichelewe tafadhali.....
 
orait....ombi ni hivi.....kuna mtu namdai sasa ananizengua kulipa....naomba uniombee nipate nguvu ili nisichukue muda mrefu kumrestisha in peace....majibu yasichelewe tafadhali.....

Wewe umekuwaje tena, heeeeeeeee!!!! yaani nguvu za kurestisha in peace faster? No ili sisi waombaji wa kimataifa hatufanyi hivi bana....

Nakuombea kesho tu asubuhi kabla hujatoka home good kwako umkute kapiga magoti akikuomba msamaha na kukulipa....halafu ulete ushuhuda ili imani ya watu wengine ikue na waniamini muombaji wa kimataifa
 
Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani

Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo yangekuwa swadakta

Napata hofu ya kuombeaga wengine maana nahisi mkishaolewa mtatupoteaga jukwaani

ndoa ndoano, ndo amepigwa marufuku jf. Mumewe ni kada wa gamba na ni mhafidhina, anaona uwepo wa mkewe hapa JF utamtia u najisi
 
nimesikia mambo yao ya jf wanashare so engine anaogopa akiendelea kujichanganya humu jibaba anaweza kukuta PM zake ikaleta shida. Ni heri alivyoamua kumute.
 
Back
Top Bottom