Recent content by New world

  1. N

    Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts

    Habari wakuu.Naomba kufahamu namna ya kuexport raw cashew nuts ,ni documents gani unapaswa kuwa navyo na taasisi gani za kiserikali zinahusika katika utoaji wa hizo documents. ( Kwa sasa serikali imekataza kuexport raw cashew nuts nataka kufahamu taratibu tu.)
  2. N

    Hivi kwanini gredi C students wanafanikiwa sana maishani?

    Hizo ni perception zako tu mkuu
  3. N

    Vodacom kuanza kuuza hisa Machi 9

    Sio kweli kwenye prospectus yao ni NBC Iliyopo samora (corporate branch) pale dsm
  4. N

    University corner

    Kuna watu wako blessed kwa kuwa na great ideas ila hawana uwezo wa kuyafanikisha wenyewe . ( samahanini wakuu kwa kuchanganya lugha)
  5. N

    Agricultural and natural resources economics and business

    Salama wakuu ! Naombeni kujua wigo wa hii course ilitajwa hapo juu . kuhusu field zake maana kuna mdogo wangu anang'ang'ania. Mimi kama kaka yake sina ujuzi na hiyo course
  6. N

    BODI YA MIKOPO

    Mkuu yametoka kitambooo sana miezi wa nane hivi . Hadi tulivyokuwa jeshini tulioneshwa hayo majina
  7. N

    Vitu gani nahitaji kuzingatia katika mashine za kusaga na kukoboa?

    Salaam wakuu! Naombeni msaada wenu ni vitu gani nahitaji kuzingatia katika mashine za kusaga na kukoboa unga(sembe + dona). wenye udhoefu naombeni mnijuze aina bora ya mashine, wapi naweza pata, changamoto zake, vitu muhimu vinavyoitajika kufanikisha huu mradi. Na masoko ya unga wa sembe yalivyo...
  8. N

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    huyo jamaa anafanya relative comparisons hapa
  9. N

    Kampuni za kuagiza magari ughaibuni laghai sana

    VWEST is the company! hutajuta kuagiza gari katika hiyo company http://www.vwest.jp/
  10. N

    Drip Irrigation System

    shukrani Mr LORDVILLE!chanzo cha maji ni mto RUAHA , landscape ya shamba sio almost perfectly flat kuna sehemu zingine ina slope kidogo na nyingine tambarare! Hawa watalaamu wa kupima soil moisture nitawapata wapi Tanzania , na wanatest udongo wa mda gan! Ingekuwa vizuri ungenielekeza kwa watu...
  11. N

    Maji Uhai yana ladha mbaya

    Nshahamahuko kitambo!!!!!!! hamia UDZUNGWA DRINKING WATER!
  12. N

    Drip Irrigation System

    asante KISIMA! Mimi nipo Iringa kuna watu wananilimia kwa vijaruba na wanatengenezea miferji ! hii system naona haipo efficient kwa sababu kuna loss kubwa ya maji na mafuta ya pampu yanakwenda ile mbaya ! navuta maji about 1km just imagine ! na shamba ni about 10acre !
  13. N

    Drip Irrigation System

    Asante sana mkuu ngoja niwatafute @ Bonge
  14. N

    Drip Irrigation System

    Naomba unifafanulie FARO ndo nini?
Back
Top Bottom