Habar ya week-end wanajf, Kuna siku nilipita mtandaoni, nikakutana na habar ya kuanzishwa Kwa shindano la ujasiria Mali vyuon. Naomba mwenye taarifa kamili anipe ufafanuzi tafadhar !
Ni muhimu sana kuwa na program za namna hii. Ila zinapaswa kuwa na dhamira nzuri na sio ubabaishaji ama kutafuta mawazo ya biashara kupitia vijana hawa.
Nadhani ni muhimu kuwa na mkataba wenye kuonesha umiliki wa wazo la mtu na kuzuia mwingine yeyote kulitumia wazo hilo bila idhini ya mmiliki wake, kwahiyo patent right inahusika sana hapo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.