Sidhani kama ni shida sana.
ASL inaweza kuwa namba iliyotoka mwaka 2007 na hizi gari zimeanza kutengenezwa kabla ya 2007. Hivyo inawezekana ilinunuliwa ikiwa 'brand new' wakati huo.
Trina she is one of the dope mcs na kitu ninachokipenda, alikuwa anamuheshimu Rozay since wayback. 2002 Trina alikuwa hottie sana na Rozay alikuwa hajatoka kabisa, kipindi hicho Rozay ni underground rapper na mwandishi wa Muziki.
Wadau,
Ninaomba kuuliza namna ambavyo biashara ya barbershop (saloon za kiume za kisasa) inaendeshwa?
Je maelewano kwenye upande wa mmiliki na vinyozi pamoja na wadada wanaofanya scrub, massage n.k inakuwaje?
Anapotea vipi?
Mbona alipokuwa Times Fm aliweza kutengeneza brand yake vizuri tu.
Kwa kuangalia vizuri utagundua EFM inasikika maeneo mengi Tz na ina wasikilizaji wengi kuliko Wasafi Fm kwa sasa(Wasafi inasikika DSM tu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo ya chama chochote ni jengo au majengo?
Je CCM wana jengo lolote ukiacha yale ambayo ilirithi baada ya kutoka kwenye mfumo wa awali wa chama kimoja? (Chama na serikali)...
Kwa maono yangu Chadema ina maendeleo makubwa sana kulinganisha chama chochote kwa kuangalia idadi ya wabunge na...

Umedhibitishaje kuwa amejenga ndani ya hifadhi? Na nani alimruhusu? Unajua unapofika katika hifadhi kuna geti la kuingia?
Hajajenga ndani ya hifadhi na usisikilize maneno yeye majungu ndani yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.