Ukweli ni kwamba si wote wanaohudhuria mikutano ya ACT ni wafuasi wake. Observation yangu ya mikutano ya ACT Njombe na Makambako ambapo nilihudhuria niliona mambo matatu makubwa; 1. Kuna kundi la watu wanaokwenda 'kumshangaa' ZZK na kutaka kujua hatma yake. Kundi hili lina watu wengi kutoka...
Ndugu salum athuman na mwenzie ambaye ametoroka mnamo mwezi wa kwanza mwaka 2014 alikamatwa na jeshi la police kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya kinyume cha sheria. Kosa hilo lilimpelekea salum athuman kushitakiwa ktk mahakama ya wilaya ya kinondoni, jalada ktk shitaka hilo linasomeka...
Nape Nnauye amempiga ngumi na kofi la uso, Katibu wa Chadema Mkoa wa Singida, tukio hilo limetembezewa pesa ya kutosha na vitisho kiasi kwamba limeshindwa kuripotiwa na vyombo vya habari hata na waandishi walioko kwenye msafara wake,wamebaki kusimulia tu, aliyepigwa amefunguliwa shitaka jalada...
Ni kweli wanawake wa Kalenga tusimwangushe Mwana Mama mwenzetu. Wabunge wanawake wa Chadema twendeni tukamalizie kampeni, tupeleke sera nzuri chama tofauti, na mabadiliko wanayotaka.. wanawake tunaweza kweli, Grace Mvanda anaweza sana, tunamhitaji Mbunge wa wote Kalenga
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria,
kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu?
Yawezekana...
Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Kalenga kutabiri mshindi wa uchaguzi mkuu 2015, watafiti wa maswala ya kisiasa wana sema, jimbo la Kalenga limebeba sura halisi ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu kulingana na historia ya mabadiliko ya nchi yetu.
Endapo CCM itashinda jimbo hilo, basi itakuwa...
Changia hoja, acha kunitamani. Au uantaka kusema sura yangu inafaa niwe nimehamia CCM tangu zamani? Mimi wa huku huku kwa sura mbaya ila sheria tunafuata
Mwandishi Mahiri wa Makala na Mwanasheria wa Jijini Dar es Salaam Nyaronyo Mwita Kicheere amehamia CCM, kati ya sababu kubwa zilizomhamisha CHADEMA, anasema Viongozi wake hawana sura ya Tabasamu, tofauti na viongozi wa CCM, Kikubwa zaidi anasema ameamua kuipenda CCM kwa kuwa Mwenyekiti wake...
Nilishasema tangu zamani, hili ni janga, tutaendelea kuchangia michango ya sekondari na michango ya kusaidia kusambaratisha chadema tutakuwa masikini. Tunakoelekea sio vizuri akina mama tubadilike
Ameondolewa Vyeo Zitto = Tumepta Mhadhiri wa Chuo Kikuu Bungando, Rodrikc Kabangila
Ameondolewa Vyeo Kitila = Tumepata Ibrahimu Bashe (banker)
Amejiuzulu Mwenyekiti wa Singida = Tumepata Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madakrati nchini MAT
Amejiuzulu Chitanda wa Lindi = Amejiunga WAkili wa Mahakama...
Tukiwa bado tunamlalamikia Pro. Kapuya kutokukamatwa kwa tuhuma za Ubakaji na kutishia kuua, Igunga Mwalimu amembaka Mwanafunzi na kumpa mimba, kesi ilifunguliwa katika Kituo cha Polisi Igunga jalada RB IG/1430/2013 lakini Mkuu wa Kituo amemtorosha jamaa na kuambulia kitita cha Milioni 3.5 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.